Girls uchumba wa mda mrefu hauna shahada au stashada.

Girls uchumba wa mda mrefu hauna shahada au stashada.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Ukiona uchumba zaidi ya miaka NNE just dump him.Kama yuko mkoani au Dar unatumiwa nauli kwa mpesa unapanda basi linakutingisha na jioni ukifika kifuatacho ITV hata hujakata kiu kwa soda,unapewa uhuru kujiachia kwa wiki moja chumbani kwake yeye anaenda kazini (hajawahi miss kazi kisa wewe,)kukaanga vitunguu uki-act mke,kwenu hapafahamu na hawamfahamu hata hajui wilaya unayotoka acha kabila.Unapewa nauli ya kurudi upande machinga,abood,dar express,mtei,huku ukijifariji nina bonge la mchumba.

Hamna cheti cha kuwa mchumba janjarukeni
 
uchumba miaka 4! Ndoa zenyewe zilizo nying siku hizi hazizidi miaka 5 sasa mtafanyaje uchumba miaka 4? Hapo hata mkipigana chini halali kabisa. One year au mwaka na nusu inatosha kwa uchumba
 
uchumba miaka 4! Ndoa zenyewe zilizo nying siku hizi hazizidi miaka 5 sasa mtafanyaje uchumba miaka 4? Hapo hata mkipigana chini halali kabisa. One year au mwaka na nusu inatosha kwa uchumba

Bats ukimchunguza sana huli
 
Nimegraduate uchumba wa miaka 6
 
Naona wataka wadada wafanye ''maamuzi magumu''...!
 
gharama za harusi nazo zinachangia... habare ya mujini ni sogea tukae ukitaka ndoa utazeekea kwenu
 
uwiiii asa hapo unaniingilia kwe privacy zangu wew si bure
 
nini miaka 4 watu wanaenda hadi miaka 7 tehe tehe tehe tehe tehe

umenikumbusha dada mmoja tulisoma nae chuo,akiwa chuo alikuwa na mwanaume wake wameanzana toka secondary uchumba miaka 6,mwanamke anajulika kwa mwanaume na mwanaume anajulika kwa mwanamke,wakaahidiana kuoana,huyo kaka alikuwa muajiriwa.

siku zikaenda,dada wa watu kamaliza chuo,kurudi nyumbani hajui lolote coz mawasiliano yalikuwa yanaendelea kama kawaida na mwanaume wake,kila wakipanga kuonana mwanaume anapiga chenga,mdada akaamua kumfuata kwake,kumbe alishaama,na ndio watu wakavunja ukimya,wakamwambia kuwa jumamosi hiyo ANAOA dada wa watu hakuamini,baada ya kujishughulisha miaka yote hiyo.Na alieolewa wali date for 3 months.

ntaendelea siku nyingine
 
hahahaaaaa nakuja ndugu si ulisema nije jumamosi nakuja na begi

hahahha karibu tusogeze siku... mambo ya harusi badae na siku hizi watu wanakomoa katoa 30000 anataka kunywa kreti lol!!!
 
Back
Top Bottom