Mmmmhh huu uzi nmeupenda kweli,binafsi siwezi kubadili dini yangu kwa sababu ya mapenzi maana naiamini sana imani/dini yangu,ikitokea labda mapenzi yamenikolea kwelikweli basi nitajitahidi kumshawishi afuate imani yangu ikishindikana basi, huwezi jua ntampata mwingine tunaeendana maana Mungu ni mkubwa