Jf mko safi,
Nipo kwenye hatua za kuwa na mwenza wangu wa maisha kwa shida na raha.Naomba binti mwenye sifa zifuatazo anipm.Asiwe mrefu wala mfupi, asiwe mnene wala mwembamba, asiwe askari wa...
Ntumai mu wazima wa afya wana jf, mimi namshukuru Mungu niko safi. Ni kwa muda sasa nimekuwa sionekani kuchangia mada yoyote katika jukwaa lolote, ni kutokana na majukumu ya hapa na pale. Ndugu...
Habari wanajamvi,nimerudi tene kwa ajili ya kutafuta mchumba/mke baada ya mwaka jana kuja hapa na kuweka post ya kutafuta mke nilipata kuwasiliana na wasichana wawili ila hatukufikia popote coz...
wale ndugu zanguni mlio nje ya tanzania..naomba muwe makini sana wakati mkiwaacha
wake zenu ama gfriend ama wachumba inavyojulikana
kuna jiran yangu hapa mbezi kwa kweli mumewe akifika anakuwa...
NDUGU YANGU UKIONA HALI KAMA HII JIPANGE.
1.watoto kumwambia mama yao asilimia 90% ya matatizo yao hata kama amesafiri wakati wewe baba upo nyumbani.
2.ulipotoka kutafuta mkate umewakuta...
Wana jamii nimekuwa na binti mmoja kwenye mahusiano takribani miezi tano ila nimeshindwa jinsi ya kuomba ile 'kitu'a.k.a papuchii kwani mtu huwaza namna gani kuomba ama hizo story..kwani kila...
UJUMBE KWA WAKE (WIVES) NA WOTE MNAOCHUMBIWA
Wewe Mrs, au Mrs Mtarajiwa, SIKILIZA mama: Kila unapokwenda mahali ambapo Wanaume wanaonesha kukupenda, au tayari unajua kama wanaume wanakupenda...
natumaini mko salama wana JF
wandugu naomba ushauri wenu kwasababu hapa nilipo nimechanganyikiwa, siku ya jnne baba mkwe wangu aliondoka kwake kwenda kwenye mishe zake muda Wa asubui...
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita...
Habari wanajamvi.
Mimi nina matatizo kama mawili yananitatiza nashindwa kuacha.
Tatizo la kwanza, nina usingizi kupita kiasi yaani nawahi kulala ila nachelewa kuamka na hata nikienda darasani...
Nashindwa kuelewa kitu gani huwa kinatokea mpaka mambo na mitazamo ya watu kubadilika ghafla. Tukiwa wadogo katika umri wa kubalehe, kama vijana wa kiume tulikuwa na ndoto kila mmoja ya kuoa...
Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo...
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.
Hayo yalibainishwa mjini hapa jana na...
Kila mara wanawake wamekuwa wakilaumu na kuwaona kama wanaume siyo watu kutokana na tabia mbalimbali zinazojitokeza katika mahusin na maisha ya kawaida.
Mwanaume amekuwa akiongelewa vibaya kila...
Wana Jamvi.
Wanaume walio wengi wanamatatizo juu ya kuutawala mwili wa mwanamke, wanawake wa siku hizi anakupangia zamu ya kuuzulia penzi, sio kwamba mnakuwa labda mmegombana au kuna utofauti...
Rafiki yangu anamke mwenye miaka 25,
Mke wake ameishia darasa la 7 kutokana nakukosa mtu wakumsomesha elimu ya sekondari+kumuendeleza kiujumla.
Jamaa amejitoa anataka kumwendeleza mke wake awe...
Mwenzetu anaomba ushauri.
Tatizo langu ambae sijui nifanyeje, kwa kweli ina husu ndoa yangu. Kwa ufupi, nina mume wangu ambae nisha zaa nae mtoto moja wakike na nina mwingine njiani...