Jana baada ya kutoka kazini nilienda kijiweni kubadilishana mawazo na vijana wenzangu.
Miongoni mwa vijana waliokuwepo pale kuna vijana umri umeenda wana kama 30+ lakini hawajaoa na mada...
hivi mtu unaamua kuoa, halafu unaishi na mke yako miaka tisa, mumezaa watoto 2, siku mnakorofishana anakuambia mtoto sio wako!! unaamua kuenda kuangalia DNA unakuta ukweli sio wako!! yani miaka...
habari za muda huu wana jf wenzangu,natafuta mpenzi ambae baadae ataweza kuja kuwa mchumba wangu na if possible kuja kuwa mke wangu
wasifu wangu,
ni mrefu(6.0 ft)
maji ya kunde,
umri wangu...
1. Girls like to dress in revealing clothes because they think they look sexy women know they look sexy no matter what they wear.
2. Girls expect their men to know how they feel and what...
Katika utafiti wangu nilioufanya kwa vijana ishirini katika maeneo mbali mbali mjini na vijijini unaonyesha kwamba watu wengi walioa au kuolewa katika umri mdongo wamejitengenezea umasikini mkubwa...
Habari zenu wana MMU,natumai mu wazima kabisa,wagonjwa na wenye matatizo poleni mungu awafanyie wepesi.
Mi nahitaji kufahamu,sijui hii tabia baadhi yenu pia mnayo au ni mimi tu muathirika wa hili...
Ndugu wanajf, kuna jambo ambalo linaniumiza sana kichwa! Hivi kuna umuhmu wowote kuhakikisha unafanya sex na mpenzi wako kabla ya ndoa? Nimefuatilia mijadala mingi ya vijana wa kiume wakisema kuwa...
Kwanza niwatakie Jumamosi njema
''Bila hela ni vigumu kupata mrembo''
Hii ni kauli maarufu sana kipindi hiki lakini heri lee naipinga sababu nimefanya upelelezi wa miaka 6 nimegundua kuwa hawa...
Kuna uvumi ya kwamba supu ya pweza kwetu vidume hutupa extra advantage a secret kuwamaliza galls on bed, honestly nilijaribu kutumia hio supu.
Niliona tofauti kidogo wakati wa game, ila kuna...
Hisia nyingi za sisi wanaume huwa tunasifu,tunavutiwa,tunahusudu, tunapendelea hata tukioa tupate kitu ndani ya box yake au kwa maana nyingine itakayonogesha zaidi, mwanamke awe hajaguswa au...
Wana Jamvi,
Kuna ushahidi wa kutosha kuwa saa 10 ni saa za mapenzi, hii nikutokana na hali halisi tuliyonalo hasa waafrika, utafiti huu nimeufanya kwa kutumia viwango vifuatavyo:-
1. Wanaume...
Jamani eehh wadada wa JF natafuta mwenzi hasa huku JF. Vigezo hivi vitatumika, ukikosa hata kimoja usipoteze muda wako nataka uwe navyo vyooote, full stop.
1. Mrefu zaidi ya futi tano na asizidi...
Mabinti hakikisheni mnawachunguza kwanza sana wapenzi wenu kama wanawapenda kiukweli kabla ya kufika mbali. Ndio najua love is blind,ila for your future usiangalie vitu juu juu kuwa labda sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.