Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Hisia nyingi za sisi wanaume huwa tunasifu,tunavutiwa,tunahusudu, tunapendelea hata tukioa tupate kitu ndani ya box yake au kwa maana nyingine itakayonogesha zaidi, mwanamke awe hajaguswa au hajaingiliwa na mtu yeyote yule, natumai nimeeleweka, sasa swali langu kwenu wadada na nyie mnapenda au mnapendelea, au mnahusudu,au mnatamani kitu kama hicho kiwepo kwa mwanamme?
Yaani mapenzi yenu juu ya kupenda ina utegemezi au liwalo na liwe yeyote yule hamna kupenda ile kama iliyoko huku upande wa pili?
Yaani mapenzi yenu juu ya kupenda ina utegemezi au liwalo na liwe yeyote yule hamna kupenda ile kama iliyoko huku upande wa pili?