Tunachokitaka tunakipata tuoe wa nini?

Tunachokitaka tunakipata tuoe wa nini?

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Jana baada ya kutoka kazini nilienda kijiweni kubadilishana mawazo na vijana wenzangu.

Miongoni mwa vijana waliokuwepo pale kuna vijana umri umeenda wana kama 30+ lakini hawajaoa na mada iliyokuwepo mezani ni ndoa za siku hizi na kwanini vijana wanaogopa kuoa, vijana wale wakanijibu kuwa kwanini waoe wakati wakihitaji tendo hata kila siku toka kwa wapenzi wao wanapata na hata watoto wanaweza pata toka kwa wapenzi bila kuwaoa.

Nimefikria maneno hayo nimegundua wanawake/wasichana ndo wana matatizo maana wanajirahisisha mno na kutumika mno kwa wapenzi mwisho wa siku wanaachwa bila ndoa haiwezekani kila siku unatumika halafu uolewe mtaishia kuchezewa na kuachwa na mkumbuke vimezaliwa vingi vya utamu na mkichezewa mkishaona mnazeeka mnaanza stress zenu na kulazimisha ndoa kumbe mlichezea usichana wenu.

Ukiniuliza mimi nitasema ni human nature kuwa hawapendibkuwa caged in commitments. Wanahisi kuwa akishaowa hataweza kufanya baadhi ya vitu vingi ambavyo anapenda kufanya kama kulala nje akiwa club so akifikiria hapo anaona bora asubiri kwanza ili achoke kustarehe. It is true kuchezewa inauma sana kwasababu inakufanya ufikiri less of urself. So a little advice to girls closing ur legs will give you a diamonds, cars houses aand everything you need. Men will always want you so usiogope kumkataa cause from that angle ndo ataanza kukutreat like the queen that you re. Ukimkatalia sio kama ataenda kwa mwingine but ata circle around na kurudi kwako. Because you have all that they need.
 
Kwani wao kufikisha 30+ bila ndoa ni akili au wanajifariji? sawa wanapata wanachokitaka ila wako tofauti sana na waliooa. Ndo maana wanakaa vijiweni badala ya kutafuta maisha. Watoto watazaa na mwisho siku watatakiwa kuoa. watakaa wapi kila siku kumeendea dinner au lunch wa waliooa? Kimya kimya wanawatamani wenye wake zao.
 
Watu wengi wakiongelea ndoa wanafikiria ni wanawake tu ndio wanapata stress...kuna wanaume nawajua hadi nawahurumia...maana hawatengwi na jamii ila wanajitenga kwa kujishuku...unakuta mtu wadogo zake wana wake yeye akienda kwenye sherehe za familia anakuwa mnyonge sana...oeni vijana...hata nyie umri ukisonga mtachizika...
 
''ıf yo can get free milk why should you keep a cow''
 
Kuoa ni jambo muhimu sana...ni zaidi ya kugonga au kuwa na mtoto.....kwenye ndoa kuna mengi zaidi ya hayo..hao wazee wa kijiwe wakifika 40....watatia huruma sana...
 
Kikubwa kutafuta pesa tu na kujua namna ya kuzitumia vizuri. Hayo mambo ya kuoa hayana maana yoyote. Unapata watoto tu na unawalea vizuri kama una pesa. Wataenda shule boarding watakaa huko watajifunza maisha. Lakini mambo ya kukaa baba mama mtoto eti mnalea. Ni mambo ya kizamani sana. Mtaishia kupata stress tu na mtoto kuwashinda. Ila pesa ndio kila kitu. Ndoa haina maana. Full stop
 
kula ujana wakati bado haujaoa, na kula ujana ukiwa kwenye ndoa, kipi kitamu zaidi apo? swali kwa vijana aged 30-
 
Ujinga ni mzigo wa gunia lilojaa mbigiri kama si misumari...
 
Ndoa/kuoa ni stage ya mwisho....kufanalize mambo....ni ishara ya mwisho ya upendo,kama unampenda mtu,utataka u spend the rest of your life with,kama unampenda mtu utamjali na kumuheshimu....nyie mnaokuja na mada za kukejeli wanawake,you have never been in love,you dont know the feeling of being in love!sitashangaa kama you are coming from dysfunctional homes!yes km baba yako hakumheshimu mama yako kwa kutembea na kimada chances you will do the same!....ndio nyie mnaokuja hapa women this,women that....hatuwashangai wazee wenu hawakuwafunza kuwa RESPECTFUL TO WOMEN....
 
Watu wengi wakiongelea ndoa wanafikiria ni wanawake tu ndio wanapata stress...kuna wanaume nawajua hadi nawahurumia...maana hawatengwi na jamii ila wanajitenga kwa kujishuku...unakuta mtu wadogo zake wana wake yeye akienda kwenye sherehe za familia anakuwa mnyonge sana...oeni vijana...hata nyie umri ukisonga mtachizika...
Yeah ni kwli kabisa nyumba kubwa tena katika kutoa maamuzi hawapewi nafasi maana wanawachukulia kama hamzao.
 
Last edited by a moderator:
Fainali uzeeni...nadhani watakuja kukumbuka shuka pamekucha..haina haja ya kukariri maisha..nafikiri suala la kuoa na kuolewa lina heshima yake..hata mtu akwepe vipii
 
Ndoa/kuoa ni stage ya mwisho....kufanalize mambo....ni ishara ya mwisho ya upendo,kama unampenda mtu,utataka u spend the rest of your life with,kama unampenda mtu utamjali na kumuheshimu....nyie mnaokuja na mada za kukejeli wanawake,you have never been in love,you dont know the feeling of being in love!sitashangaa kama you are coming from dysfunctional homes!yes km baba yako hakumheshimu mama yako kwa kutembea na kimada chances you will do the same!....ndio nyie mnaokuja hapa women this,women that....hatuwashangai wazee wenu hawakuwafunza kuwa RESPECTFUL TO WOMEN....

Mkuu sijakuelewa una maana sijadharau wanawake kwenye uzi huu.
 
Mkuu kwenye hilo swala me na suggest tafuta movie moja inaitwa " he is not just into you" focus kwenye segment ya ben affreck na jennifer aniston, majibu yote ya hiyo mambo yapo hapo
 
Jana baada ya kutoka kazini nilienda kijiweni kubadilishana mawazo na vijana wenzangu,
Miongoni mwa vijana waliokuwepo pale kuna vijana umri umeenda wana kama 30+ lakini hawajaoa na mada iliyokuwepo mezani ni ndoa za siku hizi na kwanini vijana wanaogopa kuoa, vijana wale wakanijibu kuwa kwanini waoe wakati wakihitaji tendo hata kila siku toka kwa wapenzi wao wanapata na hata watoto wanaweza pata toka kwa wapenzi bila kuwaoa, nimefikria maneno hayo nimegundua wanawake/wasichana ndo wana matatizo maana wanajirahisi mno na kutumika mno kwa wapenzi mwisho wa siku wanaachwa bila ndoa haiwezekani kila siku unatumika halafu uolewe mtaishia kuchezewa na kuachwa na mkumbuke vimezaliwa vingi vya utamu na mkichezewa mkishaona mnazeeka mnaanza stress zenu na kulazimisha ndoa kumbe mlichezea usichana wenu.
hovyoooo.

exactly....why buy a book if you can borrow one from the library? lol....
 
Hiyo free milk ipo kweli?Usije ukaingia gharama zaidi .Tafakari.
 
Back
Top Bottom