Habari wana Jamiiforums.
Ni muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi inakuwaje hawa akina dada wanakuwa na tabia ya kuwaganda waume za watu kama kupe ilihali wanajua kabisa hakuna ndoa zaidi ya...
Si kingine bali ni wivu, wivu mkali wa kupindukia. Wivu huwakilisha kijitabia cha kutojiamini ktk mambo yako.
Nimeshaona au kusikia watu wengi wake kwa waume wenye tatizo la kutojiamini au...
Habari zenu jamani, mimi ni mgeni kidogo humu, sina muda sana. Nilikuwa napitia tu maongezi na comment za watu na nikavutiwa kujiunga, anyway turudi kwenye point ilionileta hapa.
Nlikua nina...
Katika vitu nisivyovipenda ni matumizi ya kifaa hiki DNA.
Sababu za kutotaka matumizi hayani
1. Sitaki kuaribu family kwa watoto wangu wapendwa waliozaliwa ndani ya ndoa. Mwanamke kama kiumbe...
Tukikutana na wanaume huwa often tunaangalia pochi, kazi, sura ya kiume nk, tunasahau kabisa kigezo cha uzuri/Uhandsome matokeo yake ni kuzaa watoto wenye features/wasifu wenye mushkeli kidogo and...
Nimejaribu kufuatilia mwanamke mmoja mtaani hadi humu Jamiiforums, nimegundua asilimia iliyokubwa ya mawazo ya wanawake yanatawaliwa na mapenzi.
Katika ugunduzi wangu nikaabatanisha na sababu...
Huwa napandwa na hasira nikisikia eti fulani kaiba mume/mke wa fulani. Unakuta kama ni bibie anakusanya shoga zake kadhaa waenda kufumania na kwenda kumtia adabu vilivyo "mwizi" huyo.
Kama ni...
Ukianza kukaa na kuanza kufikiri maneno ya watu yasiyona na maana ni kujipunguzia muda wako wa kuishi tu!
Kwa sababu, haiwezekani hata siku moja; nasema "HAIWEZAKANI!"... Kupendwa na kukubalika...
Kukaa kipindi fulani bila kufanya ngono?
Mfano mimi familia yangu, baada ya mama kuja ughaibuni baba akavuta mke wazee wakadai ni makosa yake mama, baba asingeweza kukaa peke yake na...
Nilisikia kwenye kituo kimoja cha redio kuwa wanaume wengi wanavutiwa na wanawake wenye nyonga(hips) pana kwakuwa scientifically wanawake wenye nyonga pana hujifungua kirahisi zaidi.
Mtangazaji...
Wadada mbona hampendi kutoa ushirikiano kwenye research ziazohusu kujamiiana? (love making) Kwa mfano, ukitaka kujua idadi ya changudoa wanaotumia jamiiforums hakuna mtu atakubali kushiriki kwenye...
Wanajukwaa habari za weekend.
Kila kijana aliye kwenye ndoa analalamika kuhusu mwenza wake kumtenda.
Wazee wetu walikuwa wanaishi miaka kibao bila kusikia manung'uniko yoyote.mpaka sisi ambao...
Ukianza kukaa na kuanza kufikiri maneno ya watu yasiyona na maana ni kujipunguzia muda wako wa kuishi tu!Kwa sababu, haiwezekani hata siku moja; nasema "HAIWEZAKANI!"... Kupendwa na kukubalika na...
Hi, i am a single boy aged 30 looking for fiancee. She must be under 30yrs. Christian and truely. ready for checkup. I Am currently in Arusha but living in Dar es salaam.
Hi everybody, natafuta Mwanamke ambaye tunaweza komaza mahusiano, umri 20 to 27 mm ni mkazi wa hapa tanzania for more than 12yrs sasa. origated from Tw. Unaweza PM.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.