habari za muda huu wana jf wenzangu,natafuta mpenzi ambae baadae ataweza kuja kuwa mchumba wangu na if possible kuja kuwa mke wangu
wasifu wangu,
ni mrefu(6.0 ft)
maji ya kunde,
umri wangu miaka 26
nina elimu ngazi ya degree
nimeeajiriwa,kwa sasa makazi yangu ni morogoro ila nyumbani kabisa ni dar es salaam
dini yangu ni muislamu
nimtafutae
awe angalau ana elimu ya diploma
asiwe mnene saaana,ofcoz awe mzuri kama sio sana basi japo kiasi
akiwa muislamu ni added advantage
nb:aliye interested anipm