hi every body im tinoh from dar, looking for someone who in need to have a good husband ,I dont care concern color, age,tribe and face only I need is true love anyone anakaribishwa,
thanks...
Ndo unatoka jioni na vits yako umempakia mkeo kakaa mbele na sit ya nyuma kakaa mama mkwe, mkiwa kwenye foleni linapita gari aina ya Range rover vogue new model,
ghafla mama mkwe anahamaki na...
Jamani wana jf nimeamua kuwatia moyo wanaume wote wanaojiona kuwa ni dhaifu kwa sababu ya kukosa kipato, mapenzi n.k.
Kuzaliwa mwanaume ni ushindi tosha kwani idadi ya mifuko uliyonayo kwenye...
kwa mara ya kwanza nakusikia ktka moja mikutano yako ukihubiri na kufundisha ulibadilisha maisha yangu palepale ghafla ulinipa njia nyingine ya kuisha ,nimeumia na taarifa yako ya msiba,moyo wangu...
Jana nilikuwa sehemu nimekaa na kupiga story na wahuni fulani, mhuni mmoja akaibuka na story, alikutana na mke wa mtu, mke mwenyewe yupo fiti na ana usafiri wake na biashara zake, kifupi mke wa...
Habari ya mchana MMU,
Its a true story, it happens to me, Kasie mie.... anyways iko hivi:
Wakati nasoma Sekondari, O-level, moja ya masomo niliyokuwa nasoma ni Physics na Chemistry, na kwa...
Sijawahi kuona mtoto wa kike aliependeza kama wewe. Hapo mdada anazugika na kuamini kuwa ni yeye tu.
Naamini wengine hapa ukiwasifu avatar zao tu unaweza ukawachanganya akili ,maana wameziweka...
Hi JF bila shaka mko poa na mnaendelea na majukumu ya kila siku.
Leo napenda kuuliza swali hili kama utakuwa na jibu naomba utiririke hapo kwenye comment.
Mimi huwa naogopa sana kutongoza hawa...
Ni kwa muda mrefu Sasa tumekuwa tukisoma wavulana wanahitaji girls humu JF. Hususan wamekuwa wakiweka vigezo maalum kama; mweupe, mwenye sabufa au kwa lugha nyingine sitting allowance, n.k...
1.Kutokuwa na pesa lakini ukawa mnyenyekevu sana kwa mwanamke kumbembeleza na pengine hata kumuosha miguu yake.
2.Kuwa na pesa lakini kidogo ukawa serious kwake na anapofanya vimakosa vya uzembe...
Huyu shemeji yako simuelewi kabisa, hali yangu kwa sasa sio nzuri, Keshokutwa tarehe 15 natakiwa nilipe School Fees za Watoto 1.5Mil, pia Mama Mgonjwa kijijini natakiwa nimtumie hela ya matibabu...
Habari zenyu binafsi wana wa kiume na kike jukwaa hapa?
Najua kuna baadhi ya watu hii hali imewahi kuwatokea ama wameshuhudia.
Ifikapo siku ya harusi ama kukaribia siku ya harusi kunatokea msiba...
Natumaini mmemaliza vyema weekend.... Poleni kwa wale ambao mlipatwa na maswahibu ya hapa na pale...
ASUBUHI YA LEO KATIKA KUPITA PITA HUKU NA KULE KWENYE MITANDAO MBALIMBALI NIMEKUTANA NA HILI...
Enyi wanawake mlolaaniwa toka kizazi cha nyoka ambacho kila siku mnatudhalilisha wanawake wenzenu. Kuna faida gani kuolewa nawe una hamu zako? leo sitaki salamu ya mtu maana sioni faida ya kuwa...
1.Uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki unajidai huna tatizo,ndo nini sasa hiyo? Kwa...
Wadau.
Katika kutafakari kwangu. Nimegundua kuwa "Expectations " huchangia sana kuweka ndoa ama mahusiano mengi katka wakati mgumu, especially pale one doesn't see, meet or get what s/he...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.