katibasitti
Member
- Nov 10, 2014
- 61
- 37
Mabinti hakikisheni mnawachunguza kwanza sana wapenzi wenu kama wanawapenda kiukweli kabla ya kufika mbali. Ndio najua love is blind,ila for your future usiangalie vitu juu juu kuwa labda sasa anakuumiza sana, anakucheat, anapenda sana kampani za wanawake wengine, haoni thamani yako hata kidogo ukadhani utamvumilia na kumvutia subira eti baadae atabadilika. usioverlook kabisa. hiyo ni taswira ya maisha yenu yatakavyokuja kuwa mbele, utaishi maisha ya kulia sana kila mara, hutakuja kuwa na furaha ya mapenzi katika maisha yako. Nawasihi sana, DONT OVERLOOK! unaweza kuja kufa kwa ugonjwa wa moyo.
Wanaume wanalust, infatuations sana, wamejaa matamanio sana.usije kuconfuse na that true love. atakuharibia maisha na atakuruka futi 100 kidogo, ataona vipya na so far machozi yako hayatamuumiza atakuona kero na kelele, wakati huo wewe umechuja umeisha hufai wakati yeye anazidi kung'aa.
Na labda ulimchanganya na masomo nayo unakuwa umefeli au umepata kile hukustaili sababu ya kuchanganyikiwa kisa uliona yeye ndio dunia yako. Wanaume ni vigeu geu someni,tafuteni maisha yenu kwanza. Nawasihi sana wadogo zangu.
Kama ni mume, pigeni magoti kuomba. Mume bora kwako hutoka kwake Muumba. usiparamie tu mtu. Omba.