Hivi ni kujali au kutojiamini

Hivi ni kujali au kutojiamini

sparcus

Senior Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
193
Reaction score
125
Habari zenu wana MMU,natumai mu wazima kabisa,wagonjwa na wenye matatizo poleni mungu awafanyie wepesi.
Mi nahitaji kufahamu,sijui hii tabia baadhi yenu pia mnayo au ni mimi tu muathirika wa hili.

Yaani mimi ni mlaji mzuri wa chakula haijalishi ni aina gani ya chakula sababu sio mchaguaji sana, ila kinachonishangaza nikiwa na mpenzi wangu au jamii yoyote ya kike, siwezi kabisa kula vizuri, zaidi nitakuwa nampa yeye nafasi ya kufaidi hata kama hicho chakula ni katika vile nivipendavyo.

Mwisho wa siku naondoka nikiwa sijashiba vizuri.

Sasa nimekuwa najiuliza.

NAJALI SANA? MUOGA?au SIJIAMINI wakati wa msosi na mupenzi au rafiki wa kike?
 
Acha kushoboka mzee
 
Sijaelewa....mnakuwa mnakula kwa hoteli au..?? Kama ni hotelini si kila mtu anakula sahani yake? Unampaje yeye nafasi ya kufaidi wakati kila mtu ana sahani yake?? Au mi sijaelewa unamaanishaje?
 
Na yeye ni mchaga pia,unaogopa ata overspend heal na kula

Wala.sio mchaga,na hata kama akiwa mchaga siwezi kuogopa yeye kutumia hela yangu ndo maana nipo nae,tatzo siwez kula yani ntamuachia yeye,hata kama atsema ameshiba ntamlazimisha ale wakat mi mwnyw nina njaa
 
Others first,you are caring
 
Wala.sio mchaga,na hata kama akiwa mchaga siwezi kuogopa yeye kutumia hela yangu ndo maana nipo nae,tatzo siwez kula yani ntamuachia yeye,hata kama atsema ameshiba ntamlazimisha ale wakat mi mwnyw nina njaa

Mara nyingi huwa ni home,tukiwa hoteli ndio huwa najitahid,ika mara nyingi nanua msosi,kisha tunaenda zetu home au ufukwe
 
Basi unajua kujali aisee uwe unapika kingi bas ili na wewe ushibe
 
kwa hiyo ata chakula cha usiku huwa unaona aibu...hushibi vizuri?
 
Hujashikwa na njaaa wewe! Mimi mwenyewe nilikuwa najiona siwezi kula mbele ya macho ya watu,siku moja mshkaj wangu akanipeleka kwenye sherehe ya company anayofanya kazi,Jamaa akanipitia asubuhi hata chai sikunywa kufika kwenye event nikakuta watu washamaliza kugonga supu hapo njaa inaniumajeee.
Mida ikaenda mi nagugumia mijuice tuu ulipofika muda wa kula ilikuwa ni self service nilihakikisha nachukua kila kipengele ubwabwa,nyama,samaki,kuku,pilau,chapati,keki yaan everything sahani imejaa hiyoooo,kutoka meza za vyakula hadi nafika sehemu tuliyokaa masistaduu na masharo full kunishangaa nafika kwenye meza yetu washkaji wanatamani tubadilishane sahani(maana wao walijipimia kama wanafanya diet mxiuuuuuuu) huwezi amini nilikula huku watu wote mezani na pembeni wamenitolea mimacho nikashushiaa na juice 1litre swaaaaaaf
 
Haha ,inanibid nitafute njia kama yako,ila umenifurahisha sana
 
Back
Top Bottom