Moja ya sababu za wanawake kudundwa na wanaume wao

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,989
Reaction score
5,069
Jana jioni nilipotoka kazini nikapitiliza nyumbani, nipo na mchumba wangu kama mwezi hapa alikuja kunitembelea.

Nilipofika nikamkuta anaangalia tamthilia, nikavua nguo nikaenda kuoga.

Ukweli njaa ilikuwa imenibana kishenzi.

Nilivyotoka bafuni nikaambiwa, baby leo zamu yako kupika, nikadhani nimesikia vibaya, nikamuuliza tena na kupewa jibu lile lile.

Nikavaa nguo nikaenda zangu pub nikaagiza chakula nikala(sio kwamba kupika siwezi ila kupangiwa ratiba).
Nilivyorudi nyumbani nikapitiliza moja kwa moja kulala.

Baada ya muda akaanza kunifokea na kuniambia nilikuwa kwa malaya wangu na nimekula huko.

Nilipatwa na hasira nikamtandika vibao. Asubuhi tumeamka ananiambia anataka kuondoka, nikampa nauli na kumtakia safari njema.

Nikamwambia ‘umepoteza maksi zaidi ya nusu'.
Mpaka sasa hajaondoka na anaomba tuyamalize.

Wadada, hata kama umesoma kiasi gani mambo ya haki sawa na kupangiana ratiba hayapo dunia hii. Nitapika siku nikijisikia na sio uanze kunipangia ratiba ya kupika.

Ugomvi mwingine mnautafuta bila sababu za msingi.

Bora hata angeniambia naomba tusaidiane kupika leo.
 
Duh... Kupigwa??? Huwa nakusikia kwa jirabi aisee, sijawahi hata kunyooshewa kidole nahisi siku nikipigwa nitakufa siku hiyo hiyo...

Kwanza sababu kubwa ya kupigwa sijui itakuwa ni ipi?? Ila kuna mashost zangu huwa wanadundwa mpaka wanapelekana hosp khaaaa...

Pole mpenziwe Nyalotsi
 
Last edited by a moderator:
Ww ulikuwa na hasira za njaa...maana hata mi nikiwa na njaa nakasirikaga sipendi kuongea wala mijadiliano akili inakuwa haifanyi kazi vizuri inafikiria msosi tu nikishashiba ndo lete story.Sasa wewe umekosea mkuu,ulitakiwa umueleze kuwa hupendi kupangiwa na ungemkumbusha pia wajibu wake na ungemueleza umetoka kazini umechoka na ni jukumu lake kama mwanamke wa kiafrika kumhudumia mtarajiwa wake.Bila shaka hii ni mara yake ya kwanza kutenda kosa hili kwahio ulipaswa umkanye.Na najua unajihisi umekosea ndo maana umekuja kusema hapa ili usikie wengine watasemaje.
Siku nyingine mkiwa mmeshinda pamoja nyumbani mnaweza kupangiana au kusaidiana.Punguza hasira za mkizi bana!
 
we jichanganye tu siku moja aisee!!
usiombe kuingia anga za jamaa aafu ukawa hujagundua yuko kwenye mood gani!
 
Last edited by a moderator:
Ww ulikuwa na hasira za njaa...maana hata mi nikiwa na njaa nakasirikaga sipendi kuongea wala mijadiliano akili inakuwa haifanyi kazi vizuri inafikiria msosi tu nikishashiba ndo lete story.Sasa wewe umekosea mkuu,ulitakiwa umueleze kuwa hupendi kupangiwa na ungemkumbusha pia wajibu wake na ungemueleza umetoka kazini umechoka na ni jukumu lake kama mwanamke wa kiafrika kumhudumia mtarajiwa wake.Bila shaka hii ni mara yake ya kwanza kutenda kosa hili kwahio ulipaswa umkanye.Na najua unajihisi umekosea ndo maana umekuja kusema hapa ili usikie wengine watasemaje.
Siku nyingine mkiwa mmeshinda pamoja nyumbani mnaweza kupangiana au kusaidiana.Punguza hasira za mkizi bana!

wakati mwingine ni simple tuu, unashinda nyumbani, nimeenda kazini tangu asubuhi. hujui mchana nilikula au la, unakaa tu mpaka giza linaingia kusubiria uniambie ni zamu yangu kupika!!!
nikaamua kwenda zangu kula bar narudi bado ananizengua!!
loh!!
mama yangu wakati ananifundisha kupika aliniambia ni in case naishi peke yangu nisihangaike au mke wangu akiwa mgonjwa au katingwa na majukumu nimsaidie. na sio niwekewe zamu.
 
Mama yako was right...
 
Mh hapo pa baby zamu yako kupika pamenichosha naye hana aibu yani baada ya kuaandaa msosi eti acheki tamthilia huyo alikua ana kupima ukoje ungejiloga kupika ndo ange kupandia kichwani huyo

nimemwambia na iwe mwisho kusikia neno hilo.
kuna watu wanataka maisha ya tamthilia za kifilipino ndio tuyaishi huku kwetu kamsamba!!
 
wakati mwingine ni simple tuu, unashinda nyumbani, nimeenda kazini tangu asubuhi. hujui mchana nilikula au la, unakaa tu mpaka giza linaingia kusubiria uniambie ni zamu yangu kupika!!!
nikaamua kwenda zangu kula bar narudi bado ananizengua!!
loh!!
mama yangu wakati ananifundisha kupika aliniambia ni in case naishi peke yangu nisihangaike au mke wangu akiwa mgonjwa au katingwa na majukumu nimsaidie. na sio niwekewe zamu.
Wewe mwenyewe utakuwa umemzoesha hizo tabia ya kupangiana bana haiwezekani from no where akwambie leo zamu yako....Na inawezekana huyo mwenzako ameiendekeza hakufikiria kama leo umeenda kazini,umechoka au una njaa na hio inaonesha ni mwanamke wa aina gani....akili kichwani mwako!
 
Safi poti, kwa vyovyote vile wewe unatokea kanda maalumu ya Tarime na Rorya. Yaani kashinda home afu anakuambia upike, shenz.i!
Umedumisha mila.
 
Back
Top Bottom