Saa 10 Ni Saa za Mapenzi, Kama uamini huu ndio ushahidi

Saa 10 Ni Saa za Mapenzi, Kama uamini huu ndio ushahidi

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,173
Wana Jamvi,

Kuna ushahidi wa kutosha kuwa saa 10 ni saa za mapenzi, hii nikutokana na hali halisi tuliyonalo hasa waafrika, utafiti huu nimeufanya kwa kutumia viwango vifuatavyo:-

1. Wanaume wengi inafika saa kumi za usiku huwa wanakuta kitu kimesimama balaa, kwa saa kama hizi wazazi kama wanataka kujua kama mtoto wao wa kiume amekamilika huwa wanaeenda kumcheki kama kitu kimesimama, hata hivyo wakikuta kimesimama baada ya kuridhika umwamusha kwenda kukojoa, hapo ndipo utaona maajabu mtoto atarusha mkojo kwa kasi ya ajabu.

2. Kwa wanaume na wanawake waliowengi ifikapo saa kumi za jioni wenye visimu vyao uanza kuchati sana na wapenzi wao wakutane sehemu kuonyeshana kitu upendo, hizi saa naweza kuziita saa za shetani kwani walio wengi huwa wanatoka na michepuko, saa hizi hizi ukiwa sehemu yoyote ya mkusanyiko unakuta vijana wa makamo, visichana na midume huwa wanaangaika wa kutoka naye. Saa kama hizi hata mwanamke ukipanda naye basi umkamdate huwa mara chache kukataa.

Hii imejizihilisha kwamba saa kumi iwe usiku iwe mchana saa hizi watanzania wanapenda sana mapenzi, saa kumi za usiku ni penzi la nyumbani na saa 10 za mchana ni penzi la michepuko.
 
Haina tofauti sana na utafiti wa Twaweza.. Labda

Kuna tofauti kubwa sana. Twaweza wanaweza kukueleza ukubwa wa "Sample" yao na distribution yake kwa maeneo, umri, jinsia nk. Huu utafiti wa MMU mara nyingi ni mawazo ya mtu - jinsi anavyoona au kuhisi. Hata hivyo si lazima ukubaliane na utafiti wa Twaweza au kwamba watakuwa sahihi kila wakati. Hali halisi inaweza kuja kuwa tofauti na utafiti wao.
 
Duu hiyo tamu sana Ngoja mimi nijaribu leo nione utamu wa saa 10.....
sasa sijui nichague saa kumi ipi (day tm or night )? nisaidieni wadau.
 
Mkuu,
Umetoa ngoma ndroo na Twaweza katika masuala ya utafiti. Katika tafiti yako, umechukulia kihisia zaidi au ulikuwa unapiga chabo nyumba kadhaa ndiyo ukafanya conclusion?
 
Duu hiyo tamu sana Ngoja mimi nijaribu leo nione utamu wa saa 10.....
sasa sijui nichague saa kumi ipi (day tm or night )? nisaidieni wadau.

ukichagua saa kumi ya usiku ni kwa mwenzi wako, saa kumi za mchana mchepuko au kama haujaoa mchumba ndio yes.
 
ukichagua saa kumi ya usiku ni kwa mwenzi wako, saa kumi za mchana mchepuko au kama haujaoa mchumba ndio yes.

Sasa mbona kama nina baki njia panda vile mkuu mgt , umenibana sana ulipoweka condition za "usiku na mchana" i.e mke/ mchepuko.
 
Umaskini utaishaje kama kila siku mtu anafanya utafiti wa mapenzi badala ya kutafiti fursa zingine kujipatia kipato. Mungu saidia watanzania.
 
Umaskini utaishaje kama kila siku mtu anafanya utafiti wa mapenzi badala ya kutafiti fursa zingine kujipatia kipato. Mungu saidia watanzania.

avatar18151_4.gif
 
Kwahiyo saa 10 alfajiri ni dushe za watanzania tu na watoto wao ndo zinasimama au ni ulimwenguni kote zinasimama?
 
Hizi TAFiti nyingine ni kama za REDET na mambo ya Uchaguzi wa Tz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom