Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama kichwa cha habari, hapa tutajali zaidi urafiki wa tulio MMU, kwani nionavyo ni swali gumu, ila nimewahi kuwaona wadada wakisimuliana siku walipokua, yaani alipobalehe, Sina uhakika ila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mi nikisaviwa kwa jina la "babaa" huwa nafurahi sana but hayo majina yenu ya kizungu sijui sweetie,honey,baby,sijui darling,my love,honey mara dear huwaga siya pendi hata kidogo nahisi kama...
1 Reactions
175 Replies
46K Views
Wakuu heshima kwenu; Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikisoma na kujifunza maswala ya mahusiano katika ndoa inaelezwa kuwa moja ya sababu kuu ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao, ni wapenzi...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Uchunguzi umebaini wengi wanaokufa kwenye tendo la ndoa kutokana na mshituko wa moyo ni watu ambao wametoka nje ya ndoa.
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari yenu wana jamvi, Nina machache napenda kuwashirikisha jioni hii.Umeoa na kupata watoto kadhaa na mkeo. Anakuja mtu na kukutonya kuwa "watoto hao si wako" ila mkeo husema ni watoto wako...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nakumbuka ilikuwa ni mida ya saa 8:00 mchana nikaingia ndan ya Bank moja maarufu hapa nchin yenye matawi yake karibu kila mkoa. Moja kwa moja nikaenda kuomba balance ya A/C yangu, kwenye dirisha...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%. Ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila...
4 Reactions
106 Replies
17K Views
ki ukweli ferooz alielezea hali halisi inayokukumbuka una,uona bosi ni Mungu. 1.Nyumba unayoishi ya kampuni 2.Ukoo mzima unakutegemea 3.Elimu yako ndo vile tenaa HIVI UTAACHA BOSI ALE TU...
0 Reactions
103 Replies
14K Views
Huyu bwana alinipa mimba na aka mkataa mtoto wake.Amenikatia sana simu kila nilipomtafuta na mengine mengi mengi nisiwachoshe kwa kuwasimulia. Muda wa miezi kadhaa sasa umepita toka katoto...
0 Reactions
81 Replies
11K Views
Huu umekuwa ni utamaduni katika makabila mengi ya kitanzania wakati kwenda kuposa, ni lazima barua iandikwe na kuwekwa kwenye bahasha nyeupe na kufungwa kwenye bahasha nyeupe.. Je wana mmu vitu...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Habari wana MMU!Naomba ushauri wenu.Nimenenepa sana (tumbo, mikono, miguu, mgongo), pia nilikuwa sijashiriki tendo kwa miezi kadhaa, nilikuwa safarini. Sasa nimerudi, kwa kweli nimekuwa mzito sana...
0 Reactions
41 Replies
12K Views
Juzi kati nimeanza kuchati na mwanaume huku Jamiiforums ana maneno matamu naye amesema amevutiwa na posti zangu. Kwa kweli tukichati ananipa furaha mpaka najutia kuwa na huyu. I am soo carried...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Ijumaa qareem, Leo wana MMU nahisi nina
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Jamani nina watoto wanne na mke wangu ana mimba sasa, ila ni mtoto mmoja tu tuliye mzaa kwa kujiandaa wengine wote ni kwa ajali. Hii mimba ya mwisho aliyo nayo tumeabiwa yawezekana atazaa kwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku. Alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nadhani imekuwa ni kama suala la kawaida tu kusikia mwanamke anamtukana mwanamke mwenzake eti we K*MA NINI! Au unasikia wanatolea mfano kwa kusema "huyu kaka nae ana mambo ya kike" Kuna siku...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari za Mchana wana MMU, Kuna mbaba janamani aliwahi kuja kazini kwangu Boss akanambia nimsaidie kazi yake, basi amekua msumbufu mara kaleta zawadi mara napenda harufu ya Perfume yako, na...
0 Reactions
142 Replies
13K Views
Ilikuwa ni usiku wa manane nikiteremka basi kutokea Zambia ,nikiwa katika mihangaiko ya kusubiri tax itakayopita bila ya mafanikio ,ghafla ilinipita gari ndogo na kufunga breki kama mita 50 kutoka...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Binti wa miaka 22 inayesemekana alipata maambukizi miaka 10 iliyopita baada ya kushare vifaa vya manicure na binamu yake aliyekuwa na maambukizi ya HIV. Soma link...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Am looking for mature men age start 29and above Christian about me am 25yrs for more information let communicate through pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom