Mandown
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 1,665
- 507
Jamani nina watoto wanne na mke wangu ana mimba sasa, ila ni mtoto mmoja tu tuliye mzaa kwa kujiandaa wengine wote ni kwa ajali.
Hii mimba ya mwisho aliyo nayo tumeabiwa yawezekana atazaa kwa operation sababu mtoto mkubwa, nikamwambia daktari wakati anafanya operesheni atoe kizazi ama afunge huko huko mayai yasije tena.
Zogo lilianzia pale, wife kagoma kabisa cha ajabu hataki kuzaa tena.
Sasa kwanini tuishi tena kwa mashaka si bora kitolewe tu, naomba ushouri wadau.