Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Kama kichwa cha habari, hapa tutajali zaidi urafiki wa tulio MMU, kwani nionavyo ni swali gumu, ila nimewahi kuwaona wadada wakisimuliana siku walipokua, yaani alipobalehe, Sina uhakika ila natumai ni kati ya miaka saba kama anakula na kushiba vizuri na miaka tisa kama hana kasoro za lishe.
Sasa wadau wa MMU haswa wadada unaweza kuweka stori yako siku ulipokua ,kama unaikumbuka ,kwani bila ya shaka itakuwa ni zamani sana, nitapenda kusikia visa na mikasa, naikumbuka stori ya mdada mmoja aliitoa yeye mwenyewe wakati tulikuwa tumefurahi na tupo mchanganyiko na sote ni marafiki damdam, wadada wengie walitoa habari na tulifurahia kwani nyingine ni vituko.
Huyo mdada alisema alikuwa na umri wa miaka kama nane ghafla alijihisi hali si ya kawaida akajitenga na kujipekua akaona anatoka blood, akaogopa na kuanza kulia, anavyodai hakuwa na hisia kuwa ndio amekuwa ila alipokimbilia kwa mama yake huku akitetemeka, akamuelezea mama yake.
Mama akiwa na wasiwasi pengine mwanawe kabakwa akamchunguza na kusikika akipiga vigelegele huku akibubujikwa na machozi na kusema mwanangu umekua.
Sasa kama yupo mwenye moyo wa kuweza kutupa ni jinsi gani aliipokea hali hii asione soo.