Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam wanajamiiforums naamini mko poa, mimi leo nataka nishare kidogo experience yangu kidogo niliyonayo kwenye mambo ya mahusiano. Naomba nianze na swali hivi wa dada siku hizi mmelogwa na...
1 Reactions
74 Replies
8K Views
HABARI WAPENDWA August 30, 2013 kupitia jukwaa hili nilipost thread yenye title ya DUSHELELE LAKE, LINA NITIA HOFU. Nilijitokeza kuomba ushauri kuhusu hali ya kuongezeka ukubwa kwa dushelele la...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Nini kifanyike na Pete. Wakaka: will you take the ring back? Wadada: will you keep the ring au utairudisha?
1 Reactions
118 Replies
10K Views
Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza. Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa...
8 Reactions
225 Replies
52K Views
----------------------------------------------------------------
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Baada ya kukaa Jamiiforums muda fulani, nimeshuhudia wadada wale wanaokaribia 30 ama wako above 30, wanaotafuta wenza wakidhihakiwa, leo nawauliza ina maana nyie mliooana mapema(mid20's) ndoa zenu...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Wasalaam wanajamvi Kwakweli wano sema tembea uone hawakukosea kabisa. Hakika wanawake wa vijijini wanapata manyanyaso sana kutoka kwa wenza wao kuliko tunavyo weza kufikiri. Unajua hivi...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Enzi za urafiki wetu wa mwaka mmoja alikuwa ni msichana mwenye lugha nzuri,mnyenyekevu,mwepesi wa kuninunulia zawadi mbalimbali,aliwapenda sana ndugu zangu na zaidi alikuwa akinipa moyo wakati wa...
2 Reactions
180 Replies
21K Views
Dhana ya kumhudumia mwanamke ambaye si mkeo mimi binafsi naipa tafsiri tofauti na wengi hapa jukwaani. Mtu unapojibidiisha unakuwa na lengo fulani ambalo ni zaidi ya mwanamke. Natambua kuwa...
1 Reactions
69 Replies
5K Views
Naitaji binti wa haraka mwenye elimu isiyo pungua form six awe anjua kupika vizuri mengine nitaongea nae! Awe mzuri kama Preta
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Mpenzi wangu kanitamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake wa miezi 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu. Nilikua nakupenda...
2 Reactions
89 Replies
11K Views
Hakika napata wakati mgumu sana kwani housegirl wetu ananipenda sana na wakati huo anamfahamu my queen,je nifanyeje?
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Habari wadau, Imekuwa ni habari ya kawaida miongoni mwetu aidha ndugu au marafiki kuongea mengi juu ya mwanamme ambae anaonekana kama anamsikiliza sana mkewe na pengine mwanamme huyu kukosa...
2 Reactions
73 Replies
10K Views
Rafiki yangu alikuwa na rafiki wa kike ambaye hajawahi kukutana naye kimwili hata mara moja! Rafiki yangu hunieleza kila yanayojiri maana anasema rafikiye wa kike alipata kumwona alipokwenda...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama nimekukwaza potezea lakini kipimo cha furaha ya mwisho cha mwanamke ni kulia au kutoa chozi wakati wa tendo la ndoa, kama wakwako hajawahi kutoa chozi au kupiga kelele za kuchizika ndoa yako...
2 Reactions
52 Replies
13K Views
--------------------------------------------------------------------------------
0 Reactions
43 Replies
4K Views
There’s good news for the Casanovas of the world – sleeping with numerous women could help to protect men from prostate cancer, according to a new study. Researchers at the University of Montreal...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
wakuu hii mnaionaje, mfano umeajiriwa unalipwa less say 700000 kwa mwezi alafu una dili zako za hapa na pale ambazo kwa siku hukosi walau 50000 ziwe halali au za kona, swali langu ni kuwa kuna...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Back
Top Bottom