Juzi kati nimeanza kuchati na mwanaume huku Jamiiforums ana maneno matamu naye amesema amevutiwa na posti zangu.
Kwa kweli tukichati ananipa furaha mpaka najutia kuwa na huyu.
I am soo carried away, mpaka juzi huyu wangu kaniuliza"baby mbona uko sana busy na simu?
Swali langu ni hili wanaJamiiforums, wenzetu wakianza kuchepuka huwa hatujui kabisa? au often tunaignore "warning signs.
Karibu