Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Nadhani imekuwa ni kama suala la kawaida tu kusikia mwanamke anamtukana mwanamke mwenzake eti we K*MA NINI! Au unasikia wanatolea mfano kwa kusema "huyu kaka nae ana mambo ya kike"
Kuna siku niliwahi kumsikia mama mmoja anamtukana mtoto wake wa kiume eti we nae unajilegeeeeeza utafikiri mwanamke.
Sasa hapo ndio nabaki najiuliza ina maana wanawake mna mambo ya hovyo tu hadi kufikia kujilinganishia mambo ya hovyo hovyo?