Payer
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 824
- 189
Habari yenu wana jamvi, Nina machache napenda kuwashirikisha jioni hii.Umeoa na kupata watoto kadhaa na mkeo.
Anakuja mtu na kukutonya kuwa "watoto hao si wako" ila mkeo husema ni watoto wako.
Utachukua hatua ya kuwapima DNA watoto wako au utapotezea na kuendelea kuwatunza tuu?asanteni sana.
Nawasilisha.
Ijumaah Kareem