Baba na mama walitengana, binti akiwa na miaka 10.
Mama aliolewa na Baba wa binti alio mke mwingine.
Binti akawa anaishi kwa mama yake na kulelewa na baba wa kufikia. Baba yake mzazi alikuwa...
Nimeona niandike hii makala baada ya kushuhudia watoto kadha wa kadha wakidhoofika kwa kulazimishwa kula vitu ambavyo umri wao hauruhusu. Wako ambao miili yao inakuwa sawasawa au hata zaidi...
Hii ni wazo TU tukielekea alhimisi Ndoa nyingi ukiacha shida za nyumbandogo na nguvu za asili kupungukiwa
Kumezuka umimi yaani chako changu chako chako h ii ni shedaaa nakuweka sawa wewe...
Mi ni kijana,me-sex toka tz,nna 28,niko na job,inaniingizia 300,000/mnth nalook 4 the true fiancee frm ky,awe a ngalau na qulfctins hz;
-christian.
-fighter.
-black-pure afro.
-elite.
-modern...
Kuna kundi kubwa la wanawake waliopo kwenye ndoa kwa muda mrefu lakini hawajui hasa raha halisi ya tendo la ndoa,kwa wanaume ni simple sana maana wao wakishatupia kamoja baaasi ila kwa mwanamke ni...
Heshima mbele wakuu
hii habari nimeikuta yahoo nikapenda maudhui yake, si vibaya kushea pamoja
1. "I'm coming." They don't just want to hear it, they want to make sure their neighbors hear it...
Habari wanajukwaa
Nimejaribu kuchunguza ma x wangu hasa wa kisukuma na pia hata nilionae sasa nimegundua kuwa wanaume walionao wanamiili ambayo inafanania na wangu yaan ni warefu na sio wembamba...
Aisee nimeshangazwa sana na hili.
Inawezekana vipi?
Yani kuna jamaa hapa ana girlfriend wake na anakula mzigo kama kawaida.
At the same time, jamaa huyo huyo ana boyfriend (means he is a gay)...
Nikiwa bize kutazama sherehe za Uhuru mara simu ikaita kutaza imeanza na +250.....
Haloo.. . sauti ya kike ikasikika na kujitambulisha kwa jina la Bigirwa.
Nikavuta kumbukumbu nikajua ni...
hili nimeliona kwa vijana wengi sana Dsm. Wakimaliza chuo wanakuwa watanashati hasa, tatizo linakuja mara wanapoanza michakato ya kuoa.
Hunenepeana hovyo na kufura kama vyura wa Kihansi.
Boys...
katika hali isiyoyakawaida,mtu huyu kapotea ktk mazingira yakutatanisha,hana sura wala physical appearance yake ni undefined,therefore natoa samahani kwa wale watakao taka mimi kuweka picha yake...
Kama umeona njia kuu sio dili, maana njia kuu yako mchepuko wa mwingine, basi hakikisha hugongi demu mmoja mara mbili.. One night stand ndio mpango.
Ukigonga dem mara moja utavaa helmet ila mara...
Wanawake wamekuwa wakihangaika sana kutafuta urembo ili watuchanganye sisi wanaume, siku hizi pamoja na kuwa Mungu kawajalia nywele nzuri, bado wananunua feki, kucha nazo wananunua feki, matako...
Habari za mapumziko ya Sikukuu ya Uhuru?
Kuna hii mada nimekutana nayo mahali fulani nikaona ni vyema kushare navyi wanajamvi wenzangu.
Hata kama mnapitia misuguano fulani katika mahusiano yenu...
Kuna wanawake sijui wanafikiria vipi maisha.
Nilikuwa na girlfriend ambaye tulidumu karibia miaka minne, tulikua tunaenda vizuri na mipango mingi, ila akaanza kubadilika alivyokaribia kumaliza...
Kama una mambo yako ya siri sana hakikisha unawashirikisha wazazi wako, kama hawapo basi washirikishe ndugu zako ama wanao (in case kama wamekua kiumri na kiakili).
Jaribu kumshirikisha tu mambo...