Msaada: mtoto wangu aliyepo Rwanda anahitaji kurudi bongo

Statistics

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
3,762
Reaction score
8,016
Nikiwa bize kutazama sherehe za Uhuru mara simu ikaita kutaza imeanza na +250.....

Haloo.. . sauti ya kike ikasikika na kujitambulisha kwa jina la Bigirwa.

Nikavuta kumbukumbu nikajua ni ex wangu wa Biharamulo.

Nilipokuwa B'mulo mwakajana mwezi June nikifanya field nikapata shemeji/wifi yenu wa kitusi baadae operation kimbunga kikamzoa kumbe mdau "nilitageti" vizuri.

Akiwa gisenyi Rwanda akapata Mtoto wa kike na wazaz wake walimUia asinitafute.

Toka mwezi wa NNE Mtoto alipozaliwa daily analia na wazee wa kitusi walipo chunguza wakagundua analia kwa ajiri ya jina la kisukuma.
Hatimaye wakanipata leo wakanieleza na kumpa jina papo halo la sunhwa.

Usiku Hui kanitumia picha za Mtoto na nilipo waonesha masista na wadau nikapongezwa yaani ingawa ni binti ananifanana.

Masada,je nifanyeje kumrejesha bongo mwanangu Sunhwa?

Sheria inasemaje?
 
Mtoto ni Mtanzania...kama wewe ni Mtanzania.
 
Sunwha weeee.......mlete aje kutusalimia shangazi zake bana........
 
Inategemea na ushirikiano utakaoupata toka kwa mama yake...otherwise mtaungana akikua...
Maana kuendesha kesi ya kudai mtoto kwenye nchi ya watu si shughuli nyepesi...
 
Jina kama la kichina vile,Any way nenda ofisi za uhamiaji watakupatia taratibu za kufuata
 
Nikiwa bize kutazama
sherehe za Uhuru mara simu ikaita kutaza imeanza na +250.....

Haloo.. . sauti ya kike ikasikika na kujitambulisha kwa jina la Bigirwa.

Nikavuta kumbukumbu nikajua ni ex wangu wa Biharamulo.

Nilipokuwa B'mulo mwakajana mwezi June nikifanya field nikapata
shemeji/wifi yenu wa kitusi baadae operation kimbunga kikamzoa kumbe
mdau "nilitageti" vizuri.

Akiwa gisenyi Rwanda akapata Mtoto wa kike na wazaz wake walimUia
asinitafute.

Toka mwezi wa NNE Mtoto alipozaliwa daily analia na wazee wa kitusi
walipo chunguza wakagundua analia kwa ajiri ya jina la kisukuma.
Hatimaye wakanipata leo wakanieleza na kumpa jina papo halo la sunhwa.

Usiku Hui kanitumia picha za Mtoto na nilipo waonesha masista na wadau
nikapongezwa yaani ingawa ni binti ananifanana.

Masada,je nifanyeje kumrejesha bongo mwanangu Sunhwa?

Sheria inasemaje?

ebu kwanza subir akue lakin according to private internationa law wife anaruhusia kuja akaishi na wew kama unampemda muoe. mm mama yangu yupo tz hadi leo.fata utaratibu
 
Loooh mimba nyingine hii ya sunhwa mpwa
.. wé endeleza libeneke la ma sunhwa wa Dar wajekukutunza hayo ya Rwanda uwii hujuiii ma spirit gani wamemwekea ama kumsemea Mwisho wa siku anakychapa kisi usipompeleka shule unakumbuka ma sunhwa wa Dar kama utakuwa badohai
 
Watu 8

asome péponi?embutuwekee KWA manufaa ya wote unaweza wapa nguvu wanakaragwe wakafwata WATOTO wao walioathirika na opération tokomeza
 
Hii akina ray hawajaiona waitungie movie???.....nahisi uongee na mama yake kama anaridhia umchukue mtoto umrudishe tanzania,akikubali ndio uwaone uhamiaji....labda watataka ufanye DNAtest kuthibitisha mtoto ni wako na sio unataka kufanya child smuggling.......
 
hatumtaki mana tutamsomesha kwa kodi zetu akishafika elimu ya juu akawa Dr/prof anakimbilia rwanda, hujaona mawaziri wengi wa rwanda walikua ni wa tanzania? any way wasiliana na mwanao ni muhimu sana. embu weka hiyo pcha
 
Mama yake yeye anasemaje?!

Usikute unapanga mipango ya kumchukua mtoto wakati mama yake hajui A wala E. Anzia hapo na mengine hayatokuwa na ugumu wowote.
 
Nikiwa bize kutazama sherehe za Uhuru mara simu ikaita kutaza imeanza na +250.....

Haloo.. . sauti ya kike ikasikika na kujitambulisha kwa jina la Bigirwa.

Nikavuta kumbukumbu nikajua ni ex wangu wa Biharamulo.

Nilipokuwa B'mulo mwakajana mwezi June nikifanya field nikapata shemeji/wifi yenu wa kitusi baadae operation kimbunga kikamzoa kumbe mdau "nilitageti" vizuri.

Akiwa gisenyi Rwanda akapata Mtoto wa kike na wazaz wake walimUia asinitafute.

Toka mwezi wa NNE Mtoto alipozaliwa daily analia na wazee wa kitusi walipo chunguza wakagundua analia kwa ajiri ya jina la kisukuma.
Hatimaye wakanipata leo wakanieleza na kumpa jina papo halo la sunhwa.

Usiku Hui kanitumia picha za Mtoto na nilipo waonesha masista na wadau nikapongezwa yaani ingawa ni binti ananifanana.

Masada,je nifanyeje kumrejesha bongo mwanangu Sunhwa?

Sheria inasemaje?

Mkuu hujasoma konsonanti mwambatano nini? Hilo jina linaandikwa Sung'hwa na sio Sunhwa kama ulivyoandika.
 
Nenda ukamtembelee wewe, zaidi ya kushirikiana na mama hakuna unaloweza kufanya, hakuna mahakama itakayokupa raia wao uondoke nae.
 
Hii akina ray hawajaiona waitungie movie???.....nahisi uongee na mama yake kama anaridhia umchukue mtoto umrudishe tanzania,akikubali ndio uwaone uhamiaji....labda watataka ufanye DNAtest kuthibitisha mtoto ni wako na sio unataka kufanya child smuggling.......
Roobbo fee ya dna apeleke uhamiaji aseme anachotaka d
 
Nikiwa bize kutazama sherehe za Uhuru mara simu ikaita kutaza imeanza na +250.....

Haloo.. . sauti ya kike ikasikika na kujitambulisha kwa jina la Bigirwa.

Nikavuta kumbukumbu nikajua ni ex wangu wa Biharamulo.

Nilipokuwa B'mulo mwakajana mwezi June nikifanya field nikapata shemeji/wifi yenu wa kitusi baadae operation kimbunga kikamzoa kumbe mdau "nilitageti" vizuri.

Akiwa gisenyi Rwanda akapata Mtoto wa kike na wazaz wake walimUia asinitafute.

Toka mwezi wa NNE Mtoto alipozaliwa daily analia na wazee wa kitusi walipo chunguza wakagundua analia kwa ajiri ya jina la kisukuma.
Hatimaye wakanipata leo wakanieleza na kumpa jina papo halo la sunhwa.

Usiku Hui kanitumia picha za Mtoto na nilipo waonesha masista na wadau nikapongezwa yaani ingawa ni binti ananifanana.

Masada,je nifanyeje kumrejesha bongo mwanangu Sunhwa?

Sheria inasemaje?

Mwambie huyo mama mtoto amuombee passport mtoto huko huko, kama utaweza nenda kamchukue ana gongewa entry tu visa free utakapo ingia nae tanzania
Next step unatakiwa uwandike barua kwa immigration ya kumuombea dual citizen, unapeleka passport yako au cheti chako cha kuzaliwa au passport yako au kadi ya Nina na passport ya mtoto.

Inaweza kuchukua 2 weeks kuchukua majibu yako,utaratibu huu ndio tunao tumia zanzibar, Sijui Tanganyika
 
Mmmmh! mtutsi kakubali kuzaa na ww????? haya movie imenoga.
 
mkuu hiyo ni damu yako...ukipata muda nenda kamuone mwanao! hata kama atakuwa raia wa rwanda ni sawa tu still ni damu yako! ninachokushauri uwe unafanya mawasiliano na mama yake na ujitaidi kumuhudumia kwa mahitaji na masomo yake hapo baadae, naamini mama na mtoto watakuheshimu kwa kujali..lkn usijaribu kufanya hila katika kumpata mwanao itakuletea shida, usumbufu na matatizo hapo baadae...uzuri siku hizi unaingia rwanda bila viza na unaweza kutuma pesa kupitia mitandao kama tigo( nipo huku na natuma pesa dar)..JIWEKE KARIBU YAO WATAJUA KUWA UNA UCHUNGU NA MWANAO KULIKO UKIJITENGA WASIJE WAKAMWAMBIA BABA YAKO ALIFARIKI
 
Back
Top Bottom