Baadhi ya wanawake sijui wanachukulia vipi maisha

sr bachelor

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,198
Reaction score
800
Kuna wanawake sijui wanafikiria vipi maisha.

Nilikuwa na girlfriend ambaye tulidumu karibia miaka minne, tulikua tunaenda vizuri na mipango mingi, ila akaanza kubadilika alivyokaribia kumaliza chuo, akawa na visa vingi na kuanza kuwa na marafiki wa ajabu ajabu wa kiume.

Kuna siku alikuja kunitembelea wakati anaondoka nikataka nimsindikize lakini akawa anakataa, nikamwacha akaondoka lakini baada ya muda mfupi nikaelekea mwelekeo aliokwenda, nikakuta kuna gari inamsubiri ndani kunamshikaji wakaondoka.
Nikampigia simu akapinga lakini nilivyompa details za gari ilivyo akakubali lakini akajitetea ni mshikaji.

Baada ya ku-argue kidogo akazima simu akaja kunipigia kesho yake, kunipa taarifa kuwa yule ni mtu wake mpya na tuachane.

Sababu aliyotoa kipindi kile ni kwamba mimi ni MPOLE sana (mimi ni mtu mwenye introvert personality), kwa hiyo akadai amepata mtu aliyechangamka na mjanja.

Ni kama miaka mitatu na miezi nane imepita, na mimi nilitulia nikajipanga na sasa nipo mbali kidogo na bongo.

Ila sasa hivi kuna kama mwezi mmoja nashangaa mtu ambaye nilishamsahau ananitafuta kwa nguvu mno, nmekuwa nikipata msg zake whatsapp, facebook, viber, sms za kawaida na amekuwa mpaka anamtumia shangazi yake kunitafuta, imefikia mpaka sasa hivi ananitumia picha zake za utupu( enzi hizo nlikuwa namsifia ana umbo zuri).

Nimeandika huu uzi sio kuomba ushauri, maana maamuzi ninayo japo na usenior bachelor wangu sirudi nyuma, ila ni kuwambia mademu hasa wadogo ambao mpo hapa ukiwa kwenye relationship, uwe mvumilivu na uangalie mambo kwa jicho la tatu, maana unamkimbia mtu kwa sababu ni mpole hana swaga. Lakini baadae (unaona 30 inakaribia bila bila) unarudi tena kwa kujidhalilisha na kutuma picha za uchi na kujitetea ulikuwa utoto ni noma mbaya.

NB: yupo humu anisamehe nimeleta haya mambo kwa wana MMU, na hasa wakina dada kama upo na mtu na ana potential tulieni muache papara maana unaweza kutupa dhahabu huku uko bussy kuokota mawe ya chokaa. Na uamuzi wangu ndo ule sirudi kamwe sahau.
 
sr bachelor

For someone who has moved on and/or is done with the past, you come across somewhat bitter! Here is why

  1. You claim to be in no need of advice yet you deemed it neccessary to start this usel**s thread
  2. You say "humtaki tena" yet you felt the need to air out her dirty laundry "ananitumia picha zake za utupu......."!

I can bet my left arm that hujawai kumwambia point blank humtaki! I m sure hata huyo shangazi ungemwambia humtaki binti yao point blank that should've been the end of it! Besides if this unwanted attention bothers you that much why not delete her off your socia media and/or block her # instead ya kumdhalilisha? Ohh "yupo humu anisamehe nmeleta haya......................" urgh:angry:

PS: Na we binti whoever you are, acha huo upuuzi!!!!!!No man is worth utu wako!!!Picha za utupu...............Really!!???
 
Nemo, nimeleta uzi ilikutoa funzo tu na kila mtu, hasa wanawake ambao wapo kwenye mahusiano machangaya mwanzoni mwanzoni(hasa kichuo chuo) wafanye choice zao vizuri na watulize akili kuangalia mbali waache papara na kuangalia mbali, I never expected this to happen(nlikuwa nmesahau kabiasa). Nahisi yupo hapa maana ni mtu wa mitandao that's why sijaweka kitu chochoteau kutaja kitu kitakacho toa identity najua ntakula ban, lakini siwezi kumdhalilisha na sitakaa nifanye hivyo, japo alinifanya nichukie mambo ya mahusiano sana, maana ndo mwanamke wa kwanza kumpenda sana.
 
I would say that the majority of women just want a nice guy with a backbone. Don't be a dick, but be willing to call her out on her shit. Someone who doesn't put them on a pedestal. Someone who is assertive with her. hiyo ilikuwa tofauti yako na huyo alie muona yeye bora na akawa na ujasiri wa kuamua bora we mpole uende, what if mambo yao yangeenda sawa.

Back to the point hata kama hutaki ushauri, mi naongea kama mtoa 1st AID iko hivi ushauri kwao ni kitu safi sana walau wawe na msimamo na wajue watawekewa thread. Lakini wanaume wenyewe tuko wapi! unavutiwa na KE anakueleza anamtu wake lakini unakomaa bila kujali unamchoma mwanaume mwezio.

Kingine kabla sijasahau hata wewe umetoa wapi guts za kusema ulicho sema its a shame and weekness of majority hurted boys, wanaume tunapiga kimya....unamshauri kiutu uzima wavulana ndio wanalialia though unamkomesha au tuseme unamdhalilisha maana kuanika kwamba anakurushia picha za utupu aagghhh sijui kama atapokea ushauri au atazidisha chuki (Na kusaidiwa na wenzie kama huyo juu), labda tuseme umeandika uzi kwa gamba la mwingine.
 
Kama was first Love aah najaribu kukuelewa....kidogo sana.
 
Mkuu kaa mbali na huyo ibilisi,she thought life is simple like that,sasa kakutana na matapeli wamemwaga anarudi,yaan haya masichana ya chuo sio!halaf mwanamke bro anaeshinda fb,whatsuup,tweeter huyo sio mke hata siku moja,hao huwa tunawatumia kwa muda kisha unaoa aliyetumia.achana nae tafuta anaejua maisha na anaejieshimu.kila la kheri mkuu,ukikosea kuoa umekosea maisha.utalia kila siku.
 
Nimeandika huu uzi hapa sio kwa ajili ya kulialia mkuu nlishalia yakaisha, im too matured and experinced for that, japo mapenzi hayana mtaalamu wala bigwa kivile, lakini nimeweka huu uzi hapa kuelimishana wote wanaume na wanawake kwamba hasa vijana wadogo, wafanye good, sound decisions kwenye mapenzi hasa kwenye prime years, itapunguza maumivu na kusaidia kutulia, kuhusu hizo picha nmeandika sio kumdhalulisha ila ni kuonesha hiyo despiration.
 
Mkuu kaa mbali na huyo ibilisi,she thought life is simple like that,sasa kakutana na matapeli wamemwaga anarudi,yaan haya masichana ya chuo sio!halaf mwanamke bro anaeshinda fb,whatsuup,tweeter huyo sio mke hata siku moja,hao huwa tunawatumia kwa muda kisha unaoa aliyetumia.achana nae tafuta anaejua maisha na anaejieshimu.kila la kheri mkuu,ukikosea kuoa umekosea maisha.utalia kila siku.
Nashukuru sana mkuu, of course kabadilika mno, she is all over the place, sio yule aliyekuwa determine, focused ni noma mbaya
 
Mkuu kaa mbali na huyo ibilisi,she thought life is simple like that,sasa kakutana na matapeli wamemwaga anarudi,yaan haya masichana ya chuo sio!halaf mwanamke bro anaeshinda fb,whatsuup,tweeter huyo sio mke hata siku moja,hao huwa tunawatumia kwa muda kisha unaoa aliyetumia.achana nae tafuta anaejua maisha na anaejieshimu.kila la kheri mkuu,ukikosea kuoa umekosea maisha.utalia kila siku.

This is the spirit.Tena ogopa ambaye yupo Badoo na Instagram.Yani bora awepo facebook napo asiwe anashinda huko.Kuna mke na girlfriend.Hao ambao wanakesha busy na simu full time kwenye social networks ni girlfriends,asilimia kubwa wameshindikana.

Mkuu wewe mchane live tu kuwa hakushtui tena,yani hana mvuto caz yeye sio mpole kama wewe.
 
Nemo, nimeleta uzi ilikutoa funzo tu na kila mtu, hasa wanawake ambao wapo kwenye mahusiano machangaya mwanzoni mwanzoni(hasa kichuo chuo) wafanye choice zao vizuri na watulize akili kuangalia mbali waache papara na kuangalia mbali, I never expected this to happen(nlikuwa nmesahau kabiasa). Nahisi yupo hapa maana ni mtu wa mitandao that's why sijaweka kitu chochoteau kutaja kitu kitakacho toa identity najua ntakula ban, lakini siwezi kumdhalilisha na sitakaa nifanye hivyo, japo alinifanya nichukie mambo ya mahusiano sana, maana ndo mwanamke wa kwanza kumpenda sana.

sr bachelor
The only valuable lesson that can be drawn from this is for women to stop this stupi**ty of sending nude pics to men period. Other that..............Yes you loved her, No she shouldn't have left you for the another man. Yes in the end you turned out to be a better man than him but so what!!?People do make wrong choices aka mistakes. It's part and parcel of life's growing pains ,big deal! Kama humtaki mwambie instead of playing victim online!
 
Unajua katika maisha ya aina hayo, once unapoachana na mtu uliyempenda, hutakiwi kulia lia, kuna jambo ambalo mungu anakuepusha nalo, either kwa upande wa kwako au wa mwanamke, na pengine usingechanganya ubongo wako kupiga hatua kadhaa!!! who knows? Watu wanakuja na kupita katika maisha ya binadamu ili kutoa funzo fulani.
Akunyimae mbaazi? (hapa ajibu mtoa mada, akijibu mwingine ntamtafuna alive hahahaaaaaaa)
 
Hope walengwa wamesikia ushauri na wataufanyia kazi.

Ingawa naona unafaa kwa jinsia zote.. nimewahi shuhudia wanaume wanafikia umri wa kuoa hana hata idea amwoe nani..
 
Hembu ngoja kabla sijafanya judgement weka kwanza hizo picha zake tuone
 
wengine wafaulu o level kwenda advance ni nyodo hadi wanajitenga na rafiki zao hasa wale ambao hawakufaulu.......anajitenga na boyfriend zao....
 
sr bachelor

For someone who has moved on and/or is done with the past, you come across somewhat bitter! Here is why

  1. You claim to be in no need of advice yet you deemed it neccessary to start this usel**s thread
  2. You say "humtaki tena" yet you felt the need to air out her dirty laundry "ananitumia picha zake za utupu......."!

I can bet my left arm that hujawai kumwambia point blank humtaki! I m sure hata huyo shangazi ungemwambia humtaki binti yao point blank that should've been the end of it! Besides if this unwanted attention bothers you that much why not delete her off your socia media and/or block her # instead ya kumdhalilisha? Ohh "yupo humu anisamehe nmeleta haya......................" urgh:angry:

PS: Na we binti whoever you are, acha huo upuuzi!!!!!!No man is worth utu wako!!!Picha za utupu...............Really!!???
I don't see your point here...Not at all.
 
mwingine akichaguliwa na TCU kujiunga chuo ndo majanga double na tena apewe mkopo anakuwa pasua kichwa.....neno am busy linakuwa sera mtambuka.....hapa boyfriends wanapigwa chini kama kama uchafu vile.....ndugu wanaopigiwa sim ni wale wenye uafadhali na maisha au wasomi zaidi yake...
 
sr
bachelor

The only valuable lesson that can be drawn from this is for women to
stop this stupi**ty of sending nude pics to men period. Other
that..............Yes you loved her, No she shouldn't have left you for
the another man. Yes in the end you turned out to be a better man than him but so what!!?People do make wrong choices aka mistakes. It's part and parcel of life's growing pains ,big deal! Kama humtaki mwambie instead of playing victim online!

Sory if you might be offended but, why does it seem like you have taken this topic so personaly? From my point of view, the man is just trying to share a lesson he learnt through his personal experience the same as
what many other people do here, whats the harm?
Have you ever gone through Lara1's threads, Mchunguzi huru, Kasinde and others?
 
wakihitimu chuo wanaporejea mtaani wanakuta maisha ni yale yale kwamba nyodo iz nothing....aliekuwa anampa lift na kuuza shule kule chuoni karudi kwao kwa familia yake hana muda nae....wanaanza kutapatapa na kuona miaka ileeeee......
 
Back
Top Bottom