katika hali isiyoyakawaida,mtu huyu kapotea ktk mazingira yakutatanisha,hana sura wala physical appearance yake ni undefined,therefore natoa samahani kwa wale watakao taka mimi kuweka picha yake hapa.mtu huyu namtafuta,kwa atakayemuona ama kupata taarifa yoyote ya mahali alipo,atoe ripoti kituo chochote cha polisi ama kupiga simu 0714852364