Amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke.
Hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi.
Nimeona niseme maana limetokea kwenye kikao cha harusi ya ndugu yangu.
Kuna jamaa aliahidi kutoa usafiri wa gari lakini siku ya harusi alipoambiwa alete hilo gari kwa ajili ya kubeba wazazi wa...
Uvaaji wa Pete za Ndoa kwa wanandoa huzingatiwa tu mwanzoni mwa ndoa zao ila baada ya kamuda hivi wanaanza kuzisahau, hadi wakumbushane ndipo wavae, wanazipoteza, na hata baadae kuzisahau kabisa.
Habari za siku wana jamvi? Ni mda mrefu nilikuwa sitoi mchango wangu huku jukwaani hii ni kwa kutingwa na majukumu.Leo naomba niwaletee hili la dada zetu kuwa na viburi,kejeli kwa bwana zao na...
Habari za weekend wandugu wote, tumshukuru mwenyezi kwa kutujaalia uzima na kutupa pumzi hadi kufikia leo, na napenda kuwapa pole wagonjwa wote waliopo maospitalini na majumbani, tusichoke...
Natafuta mke kuanzia miaka 25-31, awe angalau kafika kidato cha 4 na kuendelea. Awe tayari kupima na hata kama ana m\watoto sio mbaya wasizidi 2.
Mimi ni mwanaume nina miaka 34 elimu shahada...
Wana MMU eti huu mtazamo huwa ni kweli au?
Kuna watu wanasema huwezi kumsahau mpenzi wako wa kwanza.Tena kwa KE anamkumbuka mtu wake wa kwanza aliyemtoa usichana,atakumbuka mahali...
Jioni hii narejea home nikaona nipitie mlimani city kumnunulia wife wine aipendayo ili nikitoka namwacha na yeye akisuuza koo,nikiwa najiandaa kutoka baada ya manunuzi nikijiandaa kutoka...
Hii clip inaweza ikakushangaza kama ilivyonishangaza mimi. hebu fuatilia then toa comment zako kuthibitisha au kupinga kilichoelezwa katika hii video. Je, kuna ukweli wowote katika kilichoelezwa...
Shrien Dewani Na Marehemu mke wake Anni siku ya harusi yao
BAADA ya kutua katika uwanja wa kimataifa wa Cape Town nchini Afrika Kusini, Novemba 7, mwaka 2010, wanandoa Shrien Dewani na Anni...
Roho imeniuma sana.
Nimezaa na aliyekua mchumba wangu, kutokana na matatizo ya hapa na pale hatukubahatika kufunga ndoa japo tuliachana vibaya lakini nilijipa moyo tu.
Nilipojifungua...
Naomba kuwauliza waheshimiwa kwa experience ( uzoefu) wenu wa maisha ya ndoa hadi sasa ni mambo gani mmeona au kugundua ni ya msingi kuyapa kipaumbele au kuzingatia kabla ya uamuzi juu ya mtu wa...
Most of the man wanapenda kupikiwa chakula kizuri haswa na wake zao na wanajisikia raha zaidi kula chakula alichopika mke.
Pia wanapenda usafi na uwekwaji mzuri wa mazingira safi kila saa 24/7...
Najua umekwazika baada ya kupitia pitia post zangu na kushangaa kama ni mm kweli au huwa ninapost kwa kutumia makalio. Nisamehe sana, naomba usizichukulie serious, humu mjengoni I usually post...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.