CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari za mapumziko ya Sikukuu ya Uhuru?
Kuna hii mada nimekutana nayo mahali fulani nikaona ni vyema kushare navyi wanajamvi wenzangu.
Hata kama mnapitia misuguano fulani katika mahusiano yenu, nibora mjifunze kuwasiliana na kutoruhusu mawasiliano baina yenu yayumbishwe nahali mnazopitia.
Unakuta unarudi nyumbani jioni unamkuta ndugu kutoka mkoanikawatembelea, labda ni mzazi wa mmoja wenu, kumbe kawasiliana na mwenzako kuwaanakuja wala wewe hujui chochote kuhusu ujio huu, na tena unakuta siowakuondoka kesho, ukimuuliza mwenzako mbona hukunishirikisha anasema nilisahau,au niliona haina haja sana, hivi hii inakuingia akilini kweli?
Au unashangaamama mkwe au ndugu mwingine anakushukuru kwa kafedha alikokapokea, na ukweli nikwamba haujui kama kuna hela katumiwa, kumbe mwenzako anatumapesa kwa wazazi aukwa ndugu mwingine pasipo ufahamu wako.
Kila mtu anaheshimu sana mipaka nauhuru wa kila mwenzi wake, lakini kama msipojiwekea tabia ya kushirikishana mambona kupeana taarifa, hata katika vile vitu vinavyoonekana ni vya kawaida sanakatika mahusiano yenu, basi misuguano haitokaa iishe baina yenu, na hiiitapunguza ladha ya penzi baina yenu kwa kiasi kikubwa sana.
Wengi huwa tunachukulia kuwa ni vitu vidogo lakini vina maana sana katika mahusiano.
Tafakari, chukuahatua