Wanawake wengi najua hii ni kweli

Wanawake wengi najua hii ni kweli

RALO

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
55
Reaction score
18
Kuna kundi kubwa la wanawake waliopo kwenye ndoa kwa muda mrefu lakini hawajui hasa raha halisi ya tendo la ndoa,kwa wanaume ni simple sana maana wao wakishatupia kamoja baaasi ila kwa mwanamke ni sheedah....kuna wengine wanajua tendo la ndoa ni kwa ajili ya kutafuta watoto tu....dunia ya sasa kila kitu kipo wazi jitahidi kujifunza mbinu mbali mbalu ili upate haki yako vizuri muwapo faragha na jamaa uone raha halisi ya tendo la ndoa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Itaendelea toleo litakalofuata

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hivi kuna mwanamke wa kizazi hiki asiyejua kuna orgasm?
 
Shida sio kuijua tu,issue ni jinsi ya kuitumia,unaweza ukawa unajua kulima lakini sio kitaalamu na ndio maana kuna masomo ya kitaalamu ya vitu mbalimbali

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
HV tendo La ndoa ni nn?kwann linaitwa tendo LA ndoa wkt hata wasio na ndoa wanashiriki na wanafurahia?
 
Tendo la ndoa linakuwa halali baina ya mke na mume halali,mbali na hapo inakuwa ni uzinzi na uasherati ila swala la kufurahia hyo ipo in nature kwa kuwa Mungu kaliwekea raha hyo ila haimaanishi kuwa ni halali kwa mtu yoyote.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona wanaume tunajisifiaga tukikutana eti yule mtoto nmepiga balaa...
Na uzoefu unaonesha mwanaume ndio anaesumbuka kuakikisha mwanamke katosheka na yuko hoi au hii kwa mabachela tu.
 
Mtaishia kuwa msingi m.b.o.oo kwa hizi promo mnazojipa hapa!

But ni sawa tuu, injii ngumu hii na ajira hakuna! Kunalipa hata huko.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Shida sio kuijua tu,issue ni jinsi ya kuitumia,unaweza ukawa unajua kulima lakini sio kitaalamu na ndio maana kuna masomo ya kitaalamu ya vitu mbalimbali

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hah hah hahhhaaaaaa upo sahihi mkubwa
 
Back
Top Bottom