Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,675
- 37,853
Hii ni wazo TU tukielekea alhimisi Ndoa nyingi ukiacha shida za nyumbandogo na nguvu za asili kupungukiwa
Kumezuka umimi yaani chako changu chako chako h ii ni shedaaa nakuweka sawa wewe unaekaribia kuingia wasiona imani wanaaga KABISA
Isiwe kwako in Jesus Name
Kumezuka umimi yaani chako changu chako chako h ii ni shedaaa nakuweka sawa wewe unaekaribia kuingia wasiona imani wanaaga KABISA
Isiwe kwako in Jesus Name