Kumekuwa na mijadara mingi ya kuhusu ndoa za zamani na sasa. Na wengi wamekuwa wakituhumu ndoa za sasa kukosa uaminifu na kusifia ndoa za zamani kuwa zilikuwa na real LOVE. Hii mijadara imefanya...
Jenny was so happy about the house they had found. For once in her life that was on the right side of town. She unpacked her things with such great ease. As she watched her new curtains blow in...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 26.Miaka minne iliyopita nilikuwa na boyfriend ambae nilimpenda sana lakini kwa bahati mbaya katika safari yetu ya mapenzi ilidhihirika wazi...
kuna mtoto wa baba yangu mdogo anataka kuoa mwanamke aliye na elimu ya degree na yeye ni kidato cha NNE japo hela zipo hii ndoa itakalika kweli Mimi naona kama hawaendani hebu tusaidizane wewe...
nimeechoka nasema nimechoka. kiiila demu nchi hii anauza wengine kwenye mitaaa, wengine kwenye mabaa, wengine kwenye madanguro na nk. sasa kuna hili kundi kubwa ambalo halisikii saana. Ni hawa...
mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 32, nipo dar, umbile langu ni la kati, (kiuno cm 32. urefu ft 5. na nch 7 mguu navaa no 8, si mwesi na wala si mweupe ila nakimbilia kwenye weusi) napenda...
Nilizaa mtoto na mwanamke (miaka 10)iliyopita,kwa kipindi chote hicho kila mtu alikua na maisha yake na hatukua na mawasiliano mpaka mwaka huu nilipopata mawasiliano nakufanikiwa kumkomboa...
Habari za usiku ndugu zangu
Mke wangu anapenda sana kukasirika bila sababu za msingi, hivi hii inaweza sababishwa na kitu gani?
Nimekuwa namshauri kila siku kubadilika kuacha kuwa na hasira...
Kuna dada mmoja nilimpenda sana na nilikuwa na malengo naye ya kimaisha, lakini siku moja nilihisi kama anacheat, kitu kilichonifanya nimtumie sms za kuachana naye huku nikimsihi afute na namba...
Rafiki yangu kapata mchumba huku facebook wamependa kinacho mshtua wamefahamiana, wana wiki 1 jamaa anataka ndoa iwe mwezi wa 2. Pia anataka wiki ijayo akajitambulishe kwao binti na kutoa mahali...
Katika taratibu za kukusanya maoni ya wadau imebainishwa kwamba kwa wanaume ambazo hela zao ni kukuja mara nne(uchumi wa kusuasua) usiwatongoze kabisa wasichana wanaomiliki smartphone pamoja na...
Kesho saa nne nitakuwa nimeingia makao makuu ya nchi-Dodoma kwa shughuli zangu za kikazi,jioni ningependa nikutane na msichana yeyote wa JamiiForums aliyepo Dodoma, niweze kubadilishana mawazo na...
Ukiwauliza wanawake wajawazito watakwambia bora uzalishwe na mwanaume kuliko mwanamke.
ukija ofisini kwa secretary mwanamke ,wanawake wenziwe watapata shida kumuona bosi.
Na kwa mabosi wanawake...
Hi Ladies,
I am a 42yrs male, 6 ft tall and medium body type, degree holder and i am looking for a beautiful woman at her 24 to 33, no kids with a degree, 5'4" - 6ft, athletic to medium body...
Amani ya bwana iwe rohoni mwenu!
Shoga yangu mie, mtu wangu wa karibu, ningekuwa nimezaliwa 1990s ningemuita BAE sijui, mambo ya ride or die, sema nilizaliwa dark ages, ze mtandao was not...
ndugu wanajf natumaini mko powa. natafuta mrembo msomi mkristo anayejiheshimu katika nyanja zote. popote alipo ndani na inje ya nchi kwa ajili ya kujenga maisha kisomi. mimi ni mwanaume mtanzania...
Ni ukweli ulio wazi kuwa, kabla ya kuingia kwenye ndoa unakuwa na uhuru wa kuchat, ama kufanya mawasiliano yoyote na rafiki zako, lakini ukishaingia katika ndoa, uhuru huo unapotea.
Wapo wanaume...