Mke wangu ananitesa kwa hili

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
397
250
Habari za usiku ndugu zangu

Mke wangu anapenda sana kukasirika bila sababu za msingi, hivi hii inaweza sababishwa na kitu gani?

Nimekuwa namshauri kila siku kubadilika kuacha kuwa na hasira haelewi nisaidieni ndugu zangu kuna kipindi nawaza labda kuna mtu anampa kiburi na labda ni mjamzito lakini hakuna, naampa kila kitu kuanzia cha kula cha usiku hadi matumizi ya kwake ya muhimu, nimeamua hadi kumwabia atafute mfanya kazi wa ndani kumamsaidia kazi sababu kuna kipindi hata kupika anakuwa na hasira kwani akimaliza kupika mnakula na hakuna stori inafikia kipindi sipendi apike sababu naona akipika anakasirika.

Nampenda sana mke wangu lakini nateseka sana.

Nahitaji sana awe na furaha but kwake ni tatizo.
 

Nanaa

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
5,905
1,225
Ana umri gani? Kama yuko kwenye 30's na kuendelea inawezekana ni menopause ndo inaanza....

Na huo ni mwanzo tuu....itafika kipindi mtamaliza hospitali zote na ugonjwa hauonekani.......!
 

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,578
1,225
.......Jamani poleee! Kuna kitu kinamsumbua,haiwezekani awe na hasira bila sababu. We chunguza utagundua tatizo.
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,736
2,000
Mkeo ana "gubu" kukaa na watu wa hivo ni shughuli akijiskia kununa muda wowote ananuna...
dawa yake: akijifanya bubu we kuwa kiziwi ndio unampenda ila fanya hivo umpe dawa, akiamka kanuna nawe nuna usimsemeshe, jifanye unawapigia simu washkaji "oya mpo wapi nije nipo nipo home nimeboreka" kama huwa hutoki home toka siku hiyo kakae hata nyuma ya nyumba tu uchelewe kurudi....kwa amsha amsha za hivo atacheka mwenyewe tu akinuna tena fanya hivo hivo ataacha.
 

Nanaa

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
5,905
1,225
.......30's menopause?
At what age does a woman typically reach
menopause?
The average age of menopause is 51 years
old. But there is no way to predict when an
individual woman will have menopause or
begin having symptoms suggestive of
menopause. The age at which a woman starts
having menstrual periods is also not related
to the age of menopause onset. Most women
reach menopause between the ages of 45 and
55, but menopause may occur as earlier as
ages 30s or 40s, or may not occur until a
woman reaches her 60s. As a rough "rule of
thumb," women tend to undergo menopause at
an age similar to that of their mothers.
Perimenopause, often accompanied by
irregularities in the menstrual cycle along with
the typical symptoms of early menopause, can
begin up to 10 years prior to the last
menstrual period

MedicineNet.com
 

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
14,049
2,000
wifi yangu alivyoolewa alikua na tabia kama hiyo you know what we did ALIKUA AKINUNA TUNAPIGA STORY PALE LIKE HELL NI KUCHEKA TU,,ALIBADILIKA MAZEE ALIONA HAMNA MTU ANAMPA ATTENTION HATA KAKA YANGU AKARUDI AKAWA BINADAMU.

HUYO MKEO ANACHUKULIA FOR GRANTED UPENDO WAKO SASA plzzzzzzzzz kama kweli unahitaji msaada sikiliza hili
USIMPE ATTENTION ALIYEIZOEA NA UNAYOMZOESHA
JUST DO YOUR STAFFS MYN,enjoy with ur friends rudi home late,usimpe attention,invite ur friends kama hamna mtu mwingine hapo home,kama kuna mtoto mkubwa kiasi mchukue weekends nenda nae somewea kashinde nae uko..

nakwambia atabadilika na kuanza kufanya vitu vitakavyorudisha attention yako kwake
ILA KAMA HUTAKI USHAURI

ENDELEA KULEA KIDONDA BILA KUKITIBU.....KITAKUA KIDONDA NDUGU MWISHO UKATWE MGUU
 

MWAMFUPE

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
807
1,000
Habari za usiku ndugu zangu ,

Mke wangu anapenda sana kukasirika bila sababu za msingi ,hivi hii inaweza sababishwa na kitu gani ,nimekuwa namshauri kila siku kubadilika kuacha kuwa na hasira haelewi nisaidieni ndugu zangu kuna kipindi nawaza labda kuna mtu anampa kiburi,na labda ni mjamzito lakini hakuna,naampa kila kitu kuanzia cha kula cha usiku hadi matumizi ya kwake ya muhimu,nimeamua hadi kumwabia atafute mfanya kazi wa ndani kumamsaidia kazi sababu kuna kipindi hata kupika anakuwa na hasira kwani akimaliza kupika mnakula na hakun stori inafikia kipindi sipendi apike sababu naona akipika anakasirika,Nampenda sana mke wangu lakini nateseka sana.nahitaji sana awe na furaha but kwake ni tatizo
ushauri ndo huo akinuna, we nuna nae wala usimuulize ikiwezekana andaa bajet ya pembeni ili ata kula usirudi, nina uzoefu na nililitibu kwa staili hyo,
 

Mtama kwa watoto

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
394
0
wifi yangu alivyoolewa alikua na tabia kama hiyo you know what we did ALIKUA AKINUNA TUNAPIGA STORY PALE LIKE HELL NI KUCHEKA TU,,ALIBADILIKA MAZEE ALIONA HAMNA MTU ANAMPA ATTENTION HATA KAKA YANGU AKARUDI AKAWA BINADAMU.

HUYO MKEO ANACHUKULIA FOR GRANTED UPENDO WAKO SASA plzzzzzzzzz kama kweli unahitaji msaada sikiliza hili
USIMPE ATTENTION ALIYEIZOEA NA UNAYOMZOESHA
JUST DO YOUR STAFFS MYN,enjoy with ur friends rudi home late,usimpe attention,invite ur friends kama hamna mtu mwingine hapo home,kama kuna mtoto mkubwa kiasi mchukue weekends nenda nae somewea kashinde nae uko..

nakwambia atabadilika na kuanza kufanya vitu vitakavyorudisha attention yako kwake
ILA KAMA HUTAKI USHAURI

ENDELEA KULEA KIDONDA BILA KUKITIBU.....KITAKUA KIDONDA NDUGU MWISHO UKATWE MGUU
Masai na wewe kwaku mkatia mwenzio Raha, mwenyewe anadekea chake, jee unae mueleza moyo wakufanya hayo anao? Usimwwambie mwenzio atoke akirejea mlango una kufuli itabidi umliwaze...lol
 

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
3,311
2,000
"Nampenda sana mke wangu"

Je anajua kuwa unampenda sana?

kaanza lini hiyo tabia?

haki ya ndoa unampa sawa sawa kama zamani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom