mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 32, nipo dar, umbile langu ni la kati, (kiuno cm 32. urefu ft 5. na nch 7 mguu navaa no 8, si mwesi na wala si mweupe ila nakimbilia kwenye weusi) napenda music, kutazama movie but zaidi series na hasa korean series, soccer, na kubadilishana mawazo, kufanya mazoezi, na kusoma novels. Naweza kutumia kwa ufasaha lugha nne kiswahili, kiingereza, kifipa na lugha ya baba na mama ambayo sitaitaja.
mpenzi ninayemtaka asiwe mnene sana na wala mwembamba sana, asiwe ''demanding'' kupita kiasi, awe msafi, asiwe mbabaishaji, na mwisho awe anajua nini maana ya kuwa mpenzi wa mtu.
mpenzi ninayemtaka asiwe mnene sana na wala mwembamba sana, asiwe ''demanding'' kupita kiasi, awe msafi, asiwe mbabaishaji, na mwisho awe anajua nini maana ya kuwa mpenzi wa mtu.