Rafiki yangu kapata mchumba huku facebook wamependa kinacho mshtua wamefahamiana, wana wiki 1 jamaa anataka ndoa iwe mwezi wa 2. Pia anataka wiki ijayo akajitambulishe kwao binti na kutoa mahali siku hiyo hiyo. Rafiki yangu kamwambia wachunguzane kwanza! jamaa kasema kachoka kukaa peke yake anachoitaji kuoa kama kuchunguzana wachunguzane mwezi mmoja.
Mwanzo rafiki yangu alimwambia anabint wa miaka 7, baada ya kumbana sana akamwambia ana watoto 3 mama tofauti mh!! jamani naombeni tumshauri asanteni wote!
Mwanzo rafiki yangu alimwambia anabint wa miaka 7, baada ya kumbana sana akamwambia ana watoto 3 mama tofauti mh!! jamani naombeni tumshauri asanteni wote!