sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Ni ukweli ulio wazi kuwa, kabla ya kuingia kwenye ndoa unakuwa na uhuru wa kuchat, ama kufanya mawasiliano yoyote na rafiki zako, lakini ukishaingia katika ndoa, uhuru huo unapotea.
Wapo wanaume wanaoogopa kumtongoza mke wa mtu kwa kile wanachokiita mke wa mtu sumu, hali kadhalika wanawake wanaowaogopa waume za watu.
Nataka tuwamulike wanawake wanaowaogopa waume za watu, je ni woga wa kweli ama ndo namna ya kutaka kuchepuka na mume wa mtu? Maana ukichunguza, wapo wanawake wanapenda ''Uke Wenza'' na huwa lazima watafute mume wa mtu. Ni kweli wanawake wanaogopa mume wa mtu?
Kwa mtizamo wangu naona ni vigumu mwanamke kumwogopa mume wa mtu kwa ajili ya uke wenza ndo maana nikasema mume wa mtu ni maziwa.
Wikiendi njema wanajamii.