nimeechoka nasema nimechoka. kiiila demu nchi hii anauza wengine kwenye mitaaa, wengine kwenye mabaa, wengine kwenye madanguro na nk. sasa kuna hili kundi kubwa ambalo halisikii saana. Ni hawa dada zetu mama zetu waliobaki nyumbani kwa kisingizio wa hawataki kuuza k. mbona mnatuuziaaaaaaaaaaaa?. kila demu unayetongoza leo kama si leo kesho utamsikia babby nina shida ya 200000. mara hiki mara kili. au we nenda nae gest baada ya kula mzigo jifanye umesahau aga halafu mtazame usoni.