Msaada wa kupata namba ya simu ya mpenzi wangu niliyekorofishana naye

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,960
Kuna dada mmoja nilimpenda sana na nilikuwa na malengo naye ya kimaisha, lakini siku moja nilihisi kama anacheat, kitu kilichonifanya nimtumie sms za kuachana naye huku nikimsihi afute na namba yangu ya simu.

Kwa hasira na mimi nikufuta namba zake.

Kwa sasa amehama na kwenda kupanga nisipokujua, nahisi mbado nampenda sana lakini ugumu unakuja pale namna ya kumpata, maana sina mawasiliano naye kabisa.

Je wana-mmu kuna namna au njia yoyote ya kupata namba za simu ambazo uliwahi kuwasiliana nayo hata kama kwa hela.

Asanteni
 
Wakati ulipo mwambia afute number yako hukua hata na chembe ya Aibu wala huruma, nenda kampuni ya mtandao unao tumia wakupe sumu zilizokua zikiingia ule mwezi ulokua unampenda sana...
 
hahaa aiseee kuna kibwengo nae alinifanyia hivyo baadae akashoboka namcheki tu na pm zake za mawazo mxxiiiiieeeeeuuuuuuuuuu


SEMA JINA LAKE NIKUTAFUTIE NAMBA ZAKE NA USIRUDIE TENA
 
Nenda tu pale mtaani kwao utapata issue zake. Ila atakuwa kashawaiwa na jamaa mwingine sijui utafanyaje ukishajua kama ameshampata mtu mwingine.
 
Hakuna mtu ambae alikuwa anajua mahusiano yenu?eg Marafiki ambao waweza kukupa namba yake?mitandaoni je?Umemtafuta?
 
kama una sim ile ile nenda kweny calls angalia calls zake alzokupigia, {kwa smartphone tu} mana huwa hazipoteagi, esp kwa namba ulokua unaipiga au kupigiwa sana! kama kitochi kwaheri......
 
think before u act...usikurupuke..remember sometimes we learn through mistakes, good umejifunza sasa!
 
kama una sim ile ile nenda kweny calls angalia calls zake alzokupigia, {kwa smartphone tu} mana huwa hazipoteagi, esp kwa namba ulokua unaipiga au kupigiwa sana! kama kitochi kwaheri......

hahahah aiseee haya bana kitochi huna msaada
 
Kuna dada
mmoja nilimpenda sana na nilikuwa na malengo naye ya kimaisha, lakini
siku moja nilihisi kama anacheat, kitu kilichonifanya nimtumie sms za
kuachana naye huku nikimsihi afute na namba yangu ya simu.

Kwa hasira na mimi nikufuta namba zake.

Kwa sasa amehama na kwenda kupanga nisipokujua, nahisi mbado nampenda
sana lakini ugumu unakuja pale namna ya kumpata, maana sina mawasiliano
naye kabisa.

Je wana-mmu kuna namna au njia yoyote ya kupata namba za simu ambazo
uliwahi kuwasiliana nayo hata kama kwa hela.

Asanteni

maskin kwaiyo leo ndo unaona umuhim wake. mbona wanaume hawasahauga no? hata kichwan haipo? kweli ukikuwa humpend tafta mwingine
 
Back
Top Bottom