Eti akina Dada/Wanawake huwa hawapendani wenyewe kwa wenyewe, ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti akina Dada/Wanawake huwa hawapendani wenyewe kwa wenyewe, ni kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zion Daughter, Oct 20, 2009.

 1. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ukiwauliza wanawake wajawazito watakwambia bora uzalishwe na mwanaume kuliko mwanamke.
  ukija ofisini kwa secretary mwanamke ,wanawake wenziwe watapata shida kumuona bosi.
  Na kwa mabosi wanawake nao wanapendelea wanaume,wanawake wenzao wakiwatendea vibaya.
  Ukija hata kwenye uongozi wanapogombea mwanaume na mwanamke,Ni wanawake wanakuwa wa kwanza kumwangusha mwenzao hata kama ana uwezo eti kwa sababu tu ni mwanamke.
  n.k,n.k.n.k
  eti ni kweli tabia hii ipo? na kwa nini Wanawake wachukiane hivi?

  Kwa wale wabadilisha lugha kama akina Chrispin msinielewe vibaya kuhusu huu upendo ninaoongelea hapa,naongelea mahusiano ya kawaida na kusaidiana katika mambo mbalimbali.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wewe ndie uliepaswa kutueleza kwa iko hivi,sasa na wewe unatuuliza sisi?????????????

  Wapo wanawake wana prefer kulambwa na wanaume ili wapate kazi maeneo ya yenye wanaume kuliko akafanye kazi kwa mwanamke mwenzake....
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,761
  Trophy Points: 280
  Nimeamini kweli mi mnyonge wako. Unakumbuka mwaka 2005 kulikuwa na mwanamke mmoja aliyekuwa anagombea urais. Wanawake mngempigia kura, JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo. Lakini kwa sababu ya Chuki kati yenu, alipata kura chache kuliko wagombea wote.

  Ndio maana kila siku huwa namshukuru Mungu kwa kuniumba Mwanaume. Laiti ningekuwa Nesi, lazima ningekuzalisha ZD na kundi lako lote. Si mnapenda kuzalishwa na wanaume? Hahahaha!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hulka !
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nyinyi pia mnakutana na wanawake kila siku na mnajua tabia zao.Kwa upande wangu nawapenda wenzangu na napenda kushirikiana nao.Na isitoshe mimi nipo kwenye dunia ndogo sana na naweza kuwa najua machache na wenzangu wanajua mengi.Cha msingi ni kujua ukubwa wa tatizo na kiini chake na nini kifanyike.Tupo hapa Jf ni pamoja na kuelimishana ili tujenge Taifa letu changa.N kumbuka ukimuelimisha mwanamke 1 umeelimisha jamii nzima.
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hapana ,tuna mikakati ya kujikomboa na kuungana na sekta zote muhimu tutazikamata wanawake.
   
 7. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Makundi ya bifu la kudumu:

  • Mawifi
  • Wanataarabu wa kike
  • wakewenza
  • wanawake wa siasa (UWT, na vyama vingine)
  Na huko wanatukanana matusi ya nguoni na kutuhumiana mambo ya chupini tu, hutasikia EPA wala Kagoda!

  Nafikiri kuna kitu fulani biological, hasa kutokana na wanavyohusisha kiungo hicho cha mwili!
   
 8. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hilo halitatokea kamwe, hata Masihi akirudi maana hata alipokuwepo duniani halikuwezekana!
   
 9. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  ni kweli nina ushahidi,ila mimi binafsi sina hiyo hulka.Nadhani sababu kubwa ni wivu
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Aii wewe mbona unaua kabisa?.Si unaona harakati zimeshaanza na akina mama Ane kilango,Ananilea Nkya na wengine,tutaweza tu,cha msingi mtusaidie kwa kuwa nia tunayo,sababu tunayo na uwezo pia.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,761
  Trophy Points: 280
  Yaani tuwasaidie ili mtutawale? Kalaghabaho. Endeleeni hivyohivyo sisi tufaudu. Adui yako mwombee njaa ati! Ebo!
   
 12. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hao uliowataja wenyewe hawapendani.
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hujatulia ,hatuna haja ya kuwatawala.Sisi ni wasaidizi wenu,sasa ukiwa na msaidizi kilaza unafikiri utafanikiwa kweli?
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hahahahaa,basi kazi ipo!
   
 15. JS

  JS JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  lol Crispin ushindwe na ulegee kwani hatuwezi kuwatawala?
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,761
  Trophy Points: 280
  Leo mabinti mnashusha mapwenti ya nguvu. Thanks thanks thanks (tatu hizo, na nyingine nimekugongea kule) Ahsante sana Msaidizi wangu wa kudumu ZD.
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,761
  Trophy Points: 280
  Thubutuuuuuuuuuuu! Nani kakudanganya?
   
 18. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unalikumbuka bifu la Janet Kahama na Sofia Simba wakati wa kugombea uenyekiti wa UWT? Wapambe wao walikuwa wanarusha makombora yanayolenga pale makutano ya juu ya mapaja tu, kana kwamba wanawake hawana ishu nyingine za kuzungumzia au kupingana.
   
 19. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kuna ukweli binti sayuni
  wanawake wana mambo ya kunyanyasana na kufanyiana choyo sometimes...
   
 20. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Na tena basi mwanamke akifanikiwa kazini kwake au kwenye biashara, kuna watakaomsema amepata hiyo kutokana na kugawa uroda. Na ajabu basi woote watakaomsema hivyo ni wanawake wenzake.
   
Loading...