sokoukwela
Member
- Feb 6, 2014
- 10
- 1
Nimepiga kwao, mpaka sasa hayuopo, je atakuwa kachepuka au. Mchepuko wake naujua, je nikavamie muda huu
mnachezea ndoa nyinyi
ungekuja andika hapa???
Nimepiga kwao, mpaka sasa hayuopo, je atakuwa kachepuka au. Mchepuko wake naujua, je nikavamie muda huu
Nimepiga kwao, mpaka sasa hayuopo, je atakuwa kachepuka au. Mchepuko wake naujua, je nikavamie muda huu
Nimepiga kwao, mpaka sasa hayuopo, je atakuwa kachepuka au. Mchepuko wake naujua, je nikavamie muda huu
Unaishi na mtu unajua kabisa anachepuka? Tena na nani!!! Na unamuita mke? Umekamatwa makalio si bure...!!
Hapa nahisi tunadeal na mwanadamu mwenye upungufu wa akili...!!!
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kilichoandikwa kwenye thread hii...
........
Anayejua mbinu ya kubaini kwamba mke kagegedwa aniambie ili niwe najiridhisha kila mke wangu anaporudi nyumbani.
Mke wako anatoa sababu gani?? Lazima uzichambue, ndoa ni shule maalumu.
Haswaaaa naona wanachezea ndoa hawa
nimepiga kwao, mpaka sasa hayuopo, je atakuwa kachepuka au. Mchepuko wake naujua, je nikavamie muda huu
michepuko sio dili. Km ameona dalili ya mchepuko, tupa kule!!