Nimempata anipendae

Nimempata anipendae

FERTILIZER

Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
60
Reaction score
5
Wapendwa naombeni msaada nifanyaje kwampenzi wangu nilie nae ili aweze kuwasahau wanaume wengine na kuniona mimi ndo wapekee kwake. Natanguliza shukrani
 
.....najaribu kutafuta maana ya 'mpenzi' kwa huyo uliyenaye mwenye kutowasahau waliokuwa 'wapenzi' wake.

Kaa naye mueleweshane kuhusu neno mpenzi,mkishaeleweshana ndipo utajua uamuzi wa kusaidiana kuimalisha penzi lenu
 
FERTILIZER said:
Wapendwa naombeni msaada nifanyaje kwampenzi wangu nilie nae ili aweze kuwasahau wanaume wengine na kuniona mimi ndo wapekee kwake. Natanguliza shukrani

Fanya tofauti na wanaume wengine wafanyavyo
 
Nitafanyaje tofauti na hao wanaume wengine, alaf nitajuaje kama ndo nafanya kitu cha tofauti?
 
0714 itasaidia sana pia uvinza kwa sana mpe noti za kutosha atawasau tu
 
Upendo unaanzia moyoni haijalishi alikuwa nao wangapi but nakushauri usioneshe upendo sana huwa kuna kudharauliana so kuwa normal
 
modes wamenipiga BAN nikitoka kifungoni nitakuja kukushauri
 
Wapendwa naombeni
msaada nifanyaje kwampenzi wangu nilie nae ili aweze kuwasahau wanaume
wengine na kuniona mimi ndo wapekee kwake. Natanguliza shukrani

wew njari mthamin kadili uwezavyo utaona mwenyewe
 
Nilishawahi kupata kademu ka hivyo mi nilikapenda buuuuureee na chenyewe kilikuwa ndo kimetoka kubreak up na jamaa yake

Basi kazi ya kumuweka sawa ikaanza plus na kuapply idea za guidance&counceling za skul

Halafu mwisho wa siku kananiambia ooooh u make me forget him lakini wewe na yeye kila mtu ana nafasi kwangu kikaingizia na kizungu ''please dont get mad and live me'' Nyambaaaaaaf nikakapiga chini faster

BTW huyo anakufanya wewe mwanasesere kudadeki just dump her!
 
Wapendwa naombeni msaada nifanyaje kwampenzi wangu nilie nae ili aweze kuwasahau wanaume wengine na kuniona mimi ndo wapekee kwake. Natanguliza shukrani

Uwe unaenda uvinza na awe ni mteja wa kampuni ya tigo.hapo utakuwa umembamba na hatawaangalia wanaume wengine ila wewe tu.
 
Love comes at free will. There's nothing you can do to influence love. The acts we do to influence love bring only temporary lust of which afterwards a true color is revealed.
Please take good care of her to the level you can afford and enjoy the company. If she keeps bringing her past record of men let her go because soon or later that is exactly what she will do .
 
mkuu matunzo tu, sijui ni lini na sisi tutaanza kuhudumiwa na wanawake kwa ujumla wake?
 
toa pes, ukimpa pesa hawezi kukusahau kwa pesa zako...
 
Back
Top Bottom