Magulio ya simu za Desemba siyataki

Magulio ya simu za Desemba siyataki

Mwalufunamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
211
Reaction score
129
Simu za magulio zina shida sana.Hupati muda wa kutosha kuzichunguza. Hofu inakufsnya upeleke mambo fasta fasta, ukizubaa mwenzako atabeba. Magulio yenyewe haya ya Desemba kipindi cha Krismas, watu wa kutoka sehemu mbalimbali Tanzania mnakutana pamoja. Halafu unataka muda wa kutosha kuchagua, utapigwa bao. Kama ni bora umekula Joker kama ni ovyo galasa lako. Sasa wanatuambia eti unachomeka laini zote mbili, ila sharti kubwa moja lazima iwe tigo. Aaa wapi, mi sikubali kuchomeka tigo kwanza dhambi. Laini moja tu inatosha.
Nimegoma, gulioni siendi na tigo sitaki.
 
Back
Top Bottom