Natafuta mwanamke wa kuoa

tethering

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
306
225
Rejea kichwa cha habari.
Nina umri wa miaka 29, elimu yangu ni chuo kikuu.zifuatazo ni baadhi sifa muhimu za mke naemuitaji :
1.Awe mcha Mungu ( mkristo )
2. Awe mwenye maadili ya kiafrika.
3.Awe na elimu yoyote hata kama aliishia chekechea
4.Awe mpenda maendeleo ( asiridhike tu na uhakika wa kupata chai asubui na chakula)
5. Sio lazima awe na kaz kwa sasa, awe nayo asiwe nayo sawa.hata kama amejiajiri sawa.
6.kabila lolote na rangi si muhimu
7. Asiwe mwemba, umbo la wastan
8.kama ana mtoto bahat mbaya,bas asizid mmoja kwan naamin mmoja hatanisumbua sana ktk malez
9. Umri wake kuanzia 18- 26
10. Urefu wake uwe wastan tu au zaid.
11. Asiwe mkereketwa wa haki sawa
12. Mvumillivu, mwaminifu, msiri wa mambo ya ndani.
13. Asiwe mjuaji kupitiliza (much know) , yan akubali kujifunza kutoka kwa wengine pale inapotokea kakosea.
14. Ajue wajibu wake kama mke
Hayo ni mambo ya msingi sana kwangu, nipo serious naomba sana tuweke pembeni utani ,kashfa na kejeli, kama hauna kizur cha kupost ni jambo jema kukukaa kimya waheshimiwa. Mwenye uhitaji kama wangu tuwasiliane kwa private message (PM).
 
Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,799
2,000
Hivi wasiosoma sio wapenda maendeleo eeh?
weird-1. unnatural, preternatural. weird, eerie, unearthly, uncanny refer to that which is mysterious and apparently outside natural law.
.....clear?????
 
tethering

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
306
225
aisee....uishie chekechea na uwe mpenda maendeleo...seems weird...
Inawezekana hakujipendea kuishia chekechea ila matatizo ya walez au wazazi wake, lakin akawa mpenda maendeleo kwan kupenda maendeleo kunaitaji elimu? Mm naamini hata akili ya kuzaliwa inatosha kuwa na mtizamo mzuri wa maisha, hasa ukizingatia elimu sio darasan tu hata mazingira unayoishi yana kupa elimu, kama unajua utakubaliana na mm mheshimiwa kuwa kuna aina nyingi za elimu rasmi na isiyo rasmi( kama ya mtaani)
 
Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,799
2,000
Hujajibu swali bwana Tyta
swali lako limetokana na mimi kutumia neno weird...na hilo neno maana yake si jambo la kawaida(unusual).....
sasa baada ya kukutafunia waweza meza....jambo kutokuwa la kawaida haliwezekani/linawezekana??
cc: tethering
 
.....umeenda mbali sana......pointi yangu ni ''seems weird''-unnatural/unusual...
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
52,938
2,000
swali lako limetokana na mimi kutumia neno weird...na hilo neno maana yake si jambo la kawaida(unusual).....
sasa baada ya kukutafunia waweza meza....jambo kutokuwa la kawaida haliwezekani/linawezekana??
cc: tethering
Mbona kawaida tu....nna watu kibao mi nawajua kusoma wamejulia ukubwani ila ni wanasaka pesa na wamefanikiwa hadi kero
 
Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,303
2,000
Namba 11 ni sawa kwa mke wa kuwa mke ila mke wa kuwa mme lazima uisikie.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom