Nimemzidi mpenzi wangu miaka 14, ni wazo zuri nikitaka kumuoa?

Kinaeleweka

Senior Member
Nov 10, 2014
145
104
Habari wanaJamiiForums.

Mara nyingi nakuwa na maswali yanayonisumbua kuhusu tofauti yetu ya umri.

Nahitaji kuoa, ila tofauti yetu ya umri inanitatiza kidogo kwani nahisi gap ni kubwa zaidi.

Nahitaji ushauri wenu.
 
Age is just a word...Mugabe kamzidi mkewe miaka mingapi?
 
N huyu je?
 

Attachments

  • 1418886764711.jpg
    1418886764711.jpg
    8 KB · Views: 1,655
Age is just a number!!! Ndoa haidumu kwa umri wa mwenza,May be kama mnataka kuishi kibabe na Amri Amri..Busara za mtu na uwezo wa mtu kusilizana kwenye Mambo mbalimbali ndani ya ndoa
 
Wasikutishe bwana, kuowa mwanamke mwenye umri sawa au kakuzidi au unamzidi haina maana yyte, ikiwa unaamini kati yenu maelewano yapo basi haina shida, wazee wangapi wameowana na umri mkubwa lakini ndoa zao zimejaa fujo visa na kuumizana tu?
Mimi mke wangu nimemzidi miaka 14 mbona maisha yanakwenda kawaida tu?
 
kwa hiyo hujaonja PIPI ya dushelele?

kama umeshaonja ushauri wetu ni useless..Just go on..
 
Back
Top Bottom