Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

Irikorokonyo

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
62
Reaction score
31
Ninaomba kwa anayefahamu sababu inayopelekea wanawake kununa bila hata kuudhiwa na mtu yeyote, unaweza kuta jana alikua mcheshi na mchangamfu ila siku inayofuata kabadilika kabisa, na hata kufikia hatua ya kutomsemesha mtu yeyote yule.
 
Hawa viumbe ni watu wa ajabu sana, unakuta kanuna bila sababu yoyote ya msingi, mpaka unajiuliza hivi huyu ni mzima kweli?

Sasa huwa sielewi wanafanya makusudi au kuna faida wanaipata kununa pasipo na la maana.
 
weka picha

mnuno.jpg
 
Wana kaujinga fulani na katabia ka kitoto kaaina yake. Hupenda uakusudu
 
Hawa viumbe ni watu wa ajabu sana, unakuta kanuna bila sababu yoyote ya msingi, mpaka unajiuliza hivi huyu ni mzima kweli?

Sasa huwa sielewi wanafanya makusudi au kuna faida wanaipata kununa pasipo na la maana.
African-American-woman-confused.jpg
 
Hua sio kununa, kuna taree flani zikifika unaona tafran tuu...
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1418996209.596585.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1418996209.596585.jpg
    36.3 KB · Views: 674
Wanakuwa influenced na Position ya Moon ... na mwezi ambayo ni Emotional ... !

Never mind this soon ... yatapita tu ..
 
Back
Top Bottom