STimira
Senior Member
- Feb 14, 2012
- 133
- 24
Salaam Wanajamvi! Ni matumaini yangu kuwa wote mu-wazima mkiwa tayari mnajiandaa na sherehe ya kuzaliwa kwa Messiah pamoja na mwaka mpya ambao nao nadhani haugawanyiki kwa nne! Baada ya Salaam, ndugu zangu naombeni mawazo na ushauri wenu. Ndugu yenu majanga yamenikuta! Nina Mpenzi wangu smbae tulikuwa mbali nae kama mwaka hivi kutokana na issue za kusaka njuluku! Juzi tumeonana na kuungana tena katika dimbei la madavi udavi! Kwa vile ni muda mrefu hatujawa pamoja basi tuliamua kwa kauli moja kufanya ngono salama na siju hiyo kwa kweli tuliinjoy sana ingawa nilipiga kimoja tu cha mkwezi! Issue ilikuja siku ya pili; tulikutana kama kawaida tukafanya romance na jamaa akapanda kama kawaida! Kosa likawa nilipotaka kuvaa kondomu ngoma ilishuka ghafla na haikuweza kusimama tena for more than two hours! Mwenzangu alichpwaza ni kuwa tayari nilifanya ngono na mtu mwingine ndo maana hali imekuwa vile! Hapa ni mtiti tu na mama hataki kunielewa hata ninapomueleza kuwa sielewi hali hii imetokeaje! Naombeni msaada wanajamvi kwa nini hali hii imenitokea na inatishia kukosa mchumba? Nifanye nini ili hali kama hii isije tokea wakati meingine? Nawasilisha wadau, every opinion shall be appreciated! Asanteni!!!