Je, kuna ukweli kuwa wanawake wa kiafrika hawako huru kitandani?

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
wanawake wengi hasa wa kiafrika hawako huru kunako 6*6, sababu kubwa ni kwamba wana aibu so ukiwa unakiss au hata kumtekenya huko huwa anaona aibu na kuforce umfanyie penetration. kwani anajua atleast wewe ukimaliza basi yeye hana neno. Hii ni proved wa watu ambao walishirikishwa kwenye hii study iliyohusu masuala ya ndoa katika chuo kimoja huko Dakar Senegal na ndio maana wanawake wengi huwa wana fake orgasm.

Je wadau mnasemaje hapa?
 
Mh mimi navokula kile kipochi manyoya hawez kufake orgasm.Namuona wadudu wake wanavopanda kichwan.Sjui kwawengne
 
hata kumtekenya huko huwa anaona aibu na kuforce umfanyie penetration. kwani anajua atleast wewe ukimaliza basi yeye hana neno.
yah kuna mtoto mmoja huwa hapendi nimtekenye kwenye k anaona aibu sana.......sijui ni kwanini wanawake wengi wanakuwa na hii aibu
 
Mh mimi navokula kile kipochi manyoya hawez kufake orgasm.Namuona wadudu wake wanavopanda kichwan.Sjui kwawengne
Doyi kwai utamjuaje mtu anaye fake na asiye fake orgasm?
 
Last edited by a moderator:
So unamaanisha kuwa wanawake wanafanya kwa ajili ya kuwaridhisha wanaume tu

kwa majibu ya tafiti wanawke wengi wa kisenegali walsema wanafanya ili kuwaridhisha weni wao. sasa je hapa kwetu ni kweli?
 
inaweza ikawa kweli,since mi nimeshakutana na watu wengu tu wanakwambia hajui kama mwanamke anfika kileleni kama mwanaume na ni watu tayari wana watoto na ndoa za muda mrefu tu!kimsingi hili linasababishwa na vitu vingi labda nijaribu kuvainisha hapa then wadau watachangi
1.wanawake wengi wanaamini kuwa wanaume ndo wwanatakiwa kuridhika /kufika kileleni wakati wa tendo hivyo wakati linafanyika yeye akili anaiweke katika kumridhisha mwanaume na si kuridhika pamoja nae
2.wanaume wengi si wabunifu kiasi cha kujua wenzi wao wanahitaji nini au wanataka nini wakati wa tendo,wanaamini kuwa kazi ya ubunifu ni ya mwanamke
3.wanawake wengi kulingana na aina ya malezi na makuzi tuliyonayo wanaamini kuonyesha mahitaji yako kihisia ni umalaya hivyo mara nyingi hujikuta hata kama hajaridhika hana nafasi ya kueleza hilo so anabaki kufa na tai shingoni
4.wanawake wengi wanaingia kwenye tendo la ndoa kama wajibu tu na si furaha humo ndo unakutana na sentensi kama 'sa ntafanyaje na nimeolewa'
5.ndoa/mahusiano mengi hayana mawasiliano hivyo mwanamke hawi kwenye nafasi ya kuleza linalomkera hvo tendo linafanyika ilhali mmoja hayupo kabisa
6.wanawake wengi wanaamini miili yao ndo silaha hvyo kuitumia kama chambo kupata wanachotaka kwa wanaume hivyo anakuwa hajali hisi zake zaidi ya kukbali kutumia kama chombo
7.wanawake wengi hawaijui miili yao,katika maana kuwa anafanya tendo kama tartibu na vigezo kuzingatiwa
8.wanaume wengi ni wababe katika mahusiano/ndoa hivyo wanawake wanakuwa wanhofia kueleza tatizo liko mahala gani
9.wanawake wengi baada ya kuzaa huamini hawavutii tena kimapenzi hivo kuamini kuwa tendo la ndoa ni kwa huruma tu ya mume kwa kuwa maemua na si haki yake
10.wanawake wengi huwa na uoga tu kuwa waume zao si waaminifu katika ndoa/mahusiano so hawezi kujiachia kihisia kwani ana hpfu ya magonjwa,watoto wa nje.matusi kutoka kwa mahawara wa waume,na mambo mengi yanayofanania
MY TAKE
LADIES
-furahia ndoa/mahusiano yako
-onyesha kuwa nawe una mahitaji kama mwanadamu
-muonyeshe mumeo /mpenzi lipi linakufurahisha
-buni vitu tofauti kwa ajili ya tendo sio kila siku kitandani chumbani kwenu!sio kila siku kifo cha mende.sio kila siku ukiingia kulala na kanga ile ile
-tumia ujuzi wako kupika vyakula tofauti vya kujenga mwili wa mume/mpenzi acheni kuwapa hawa wanaume vyakula artificial
-msifie mumeo/mpenzi
-mwili wako ni zaidi ya K,una vingi sana mwilini mwako ukivitumia kwa usahihi utaona raha yake!
nawasilisha!
 
Back
Top Bottom