Kujifunza, kuelewa na kufuata ni kitu kizuri kwa mtu mwenye hulka ya kupanua mawazo yake. Hakuna aliyekamilika, Kila thiku watu wanakothea. Hakuna mtaalamu wa kudumu wa mapenzi.
Kwenye mapenzi...
Kibongo bongo unaambiwa Mapenzi Pesa mengine tutavumiliana.......in other parts of the World 3 Important things in a potential life partner are,.....smile, grammar and confidence (leo nacheekwa)...
Kwa masikitiko makubwa nasikitika kuwatangazia kuwa member mwenzetu charminglady kampoteza kaka yake aliyefariki usiku wa kuamkia leo.
Ni pigo kubwa sana amepata mwenzetu la kuondokewa na family...
Hii Hali Nashindwa Kuilewa Inakuaje Mtu amekutenda zaidi Ya mara ya 2 But Stil ya 3 Anakuja Kukuomba Msamaha Nakukiri Kosa Nakutoa Ahadi Nyingi za Kutokukosea Tena Huku Na Machoz Yakimtoka Kabsa...
Ama kweli sisi tunaokuja na kuondoka huko Dar es salaam hatuwezi tukaisha wa kuibiwa na kutapeliwa na mwisho wa siku unakaa na kuanza kulalamika ovyo, wakati wewe ndio chanzo cha matatizo yote...
Dogo ana demu wake since 2007, amezaa nae mtoto mmoja.
Sasa imepita miaka mingi ameshauriwa na wazazi wake afunge ndoa na mama watoto wake wafanye maisha.
Dogo amekomaa hajajipanga kimaisha so...
MJINI MSINGI kiuno sio mwaume au mwanamke.
Watu wanatumia viuno vyao wanaendesha magari na wanamiliki nyumba na biashara, ukiona unaachwa achwa ovyo jua kuna tatizo la kiuono au papuchi.
Hata...
Kissing ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, kama haikuwa kwenye ratiba yako na mpenzi wako, iweke sasa.
Cha msingi ni kuweka kinywa safi muda wote...
Kiss kwa ustaarabu na ustadi wa hali...
Nimekuja Kugundua Wanaume Huwa Kwetu Ni Vigumu Kumsifu Mwanamume Mwenzetu Hata Kama Ni Mzuri Ama Ameumbika Kivipi, Kinyume Na Wanawake Ambao Hawachelewi Kum'compliment Mwenzake Anapomuona Ana...
Kuna mtoto wa ndugu yangu msichana yuko chuoni tayari,kuna mvulana wanasoma naye wako very close,mara nyingi nawakutaga au nawaona katika mikao yenye utata,sasa kwa vile nilishawahi kumuuliza kama...
Najiulizaga, hivi wadada mnapotupa ile kitu (K) mnakuwaga mmefikiria nini? Yaani mnatuonea huruma? Mnataka hela? Mnatupenda? Au ni nini?
Unakuta demu ni mke wa mtu na wewe ni mme wa mtu, hela...
Namzungumzia rafiki yangu wa karibu sana namfahamu in and out. Hakuna anachoweza kufanya nisijue
Kwa sura yuko very handsome, na ni mzungumzaji sana.
Sasa jamaa ni mjuzi sana wa kujichanganya na...
ktk kuperuzi kwangu humu ndani, nimeona kuna gold member, platinum member, tanzanite member na sisi wengine vidagaa, sasa kwa wale wanaojua naomba wanijuze nani zaidi hapo na kwa vigezo gani...
Unakuta unaingia sehemu ya starehe, unamkuta mshkaji wako amekaa na manzi wake, kwa kuwa mna ukaribu unaamua kusogea na kwenda kumsalimia.. Kama kawaida yetu watanzania unamsalimia kwa sauti na...
Nimekuwa na tatizo, yani naweza kuwa niko na wife kwenye 6x6 napigaaa! mara jogoo analaa, hasa nikiwa na mawazo sana, na akishalala haamki mpaka baadae sana! wataalam msaada tafadhali.
Nilipomaliza chuo kikuu mwaka 2006 niliamua kuanza kutafuta maisha, nilianzia mkoa wa Arusha. Nikapanga chumba katika nyumba iliyokuwa na wapangaji takriban saba. Wakati huo nilikuwa na mchumba na...
Hadi sasa cjamuelewa huyu kiumbe,na huwa nabaki kujiuliza kwamba hili ni tatizo au....... Name liko kwa wadada wote au.......
Hapa nauzungumzia huu mchepuko,kila nikitaka gemu la asubuhi lazima...
Wakati tunaelekea kwny ckukuu ya x mass mwenzenu nilikuwa napata usumbufu sana kwa hawa viumbe wanaovaa sketi,Mara ooh leo jitahidi basi tuonane......mwingine cjakaa sawa eti baby uko wapi...