Rafiki yangu alikwenda Uingereza miaka ya 90 baada ya kumaliza VI, matokeo hayakua mazuri sana kwahiyo akaamua kuangalia maisha upande wa pili. Akiwa London, alikutana na kijana Mtanzania lakini...
Jamani marafiki maswali mengine yanakera.Mtu anakuuliza do you love Sex na hali anajua dhahiri hakuna asiye chukiaa sote tunapenda.
Nyie wanawake acheni kuuliza maswali ya kipumbavu na ya...
Heri ya Pasaka,
Poleni kwa mfungo na vurugu za Watunga Katiba, Mpwa wenu leo nimeona ni vyema ku-share na nyie hii kitu, hasa hasa kwa vijana wangu wale wenye kupendelea "Maharage" makavu kuwa...
Kuna jambo linanitatiza. Japo hata mimi sipendi kuishi maisha yangu katika namna alivyoishi baba yake na baba yangu Lakini kuna masuala ambayo nayaangalia katika mtazamo chanya hata kama ni ya...
Wana Jamii Forums.
Ukifuatilia kwa undani wanawake wametengwa katika magrup mengi lakini magrupu haya mawili sura ya mbuzi na sura ya paka ndiyo wengi tulionao maana ni wazuri sana kwa...
Nimeona niyalete hapa kwa sababu hutumika sana jukwaa hili ingawa nafahamu ilikuwa ni peleke jukwaa la lugha.
Swali;tofauti na tunavyoyatumia hapa, nini maana halisi ya neno gegedo, dushe na...
Mwanamke mwenye makalio makubwa
Ni swala la kushangaza kwamba shindano la
kumtafuta mwanamke mwenye makalio
makubwa mjini New York Marekani litatumiwa
kama kigezo cha upasuaji wa mapambo ,huku...
Katika hali isiyotarajiwa, vimwana wa kizungu wamekuwa wakimiminika kwenye kambi za vijana wa ISIS ama kufuata elimu ya dini, kuchukia dhulma au kutafuta waume na wapenzi. Serikali na familia zao...
Habari.
Nimekuja hapa ili tuwekane sawa jambo hili, tuangalie changamoto za umri, uzazi kila mtu anapenda aone watoto wake anawalea vizuri, wanapata huduma zote, malezi bora n.k. Lakini ni ukweli...
Mimi naishi Dodoma ,ni mfanyakazi wa Taasisi moja wapo ya Bunge la Tanzania ,sijaoa , ila niko na maisha ya kuridhisha sana nina gari mbili yangu na yake napenda kumwambia hivyo mchumba mwenye...
Kuna jambo linanitatiza. Japo hata mimi sipendi kuishi maisha yangu katika namna alivyoishi baba yake na baba yangu Lakini kuna masuala ambayo nayaangalia ktk mtazamo chanya hata kama ni ya...
Habari zenu wanajamii forum.
Leo ninakuja na chemsha bongo kidogo kwa kuwa nimeona imekaa kimapenzi,sio mbaya nikaileta hapa Mpo kwenye VITZ au SPACIO yako wewe mwanaume,mke wako na mama mkwe...
Za siku wanajukwaa, poleni kwa majukumu.
Leo nakuja na hoja hii, kwa waliohudhuria semina za ndoa makanisani/msikitini na hata kwenye kitchen part na hata beg part, mtakuwa mmekutana na...
Kilichonikuta leo sina hamu ya kupanga nyumba ambayo wapangaji wake ni wanawake tu. Nyumba niliyopanga mwanaume nipo peke yangu kati ya wapangaji saba , wengine ni wanawake ambao hawajaolewa ila...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Juzi nilipigiwa simu na shosti wangu, MRS wa ukwee, mwanamke anaejitambua. Like i expected simu kama zile...
Watalamu wa mambo ya mahusiano, wanaamini Love at first sight haina cha kuangalia umbile au physical appearance, hainaga cha kuangalia pesa au kipato. Hainaga cha kuangalia tabia.
Love at first...
Nimeshangaa sana hili tukio,kuna jamaa amegombana na mke wake hapa mtaani,wamefunga ndoa miezi minne iliyopita. Jamaa amekuta mkewe akichat na mpenzi wake wa zamani,akachukua simu na kusoma hizo...
Habari zenu ndugu na dada wa nyumba hii.
Mojawapo ya changamoto inayoikabili dunia ya sasa ni suala la kupotea kwa uaminifu kwa wapenzi na wanandoa.nini tatizo njooni tutoe hoja zenye nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.