Unaniuliza ili nikuone wife material?

Unaniuliza ili nikuone wife material?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,007
Reaction score
168,596
Jamani marafiki maswali mengine yanakera.Mtu anakuuliza do you love Sex na hali anajua dhahiri hakuna asiye chukiaa sote tunapenda.

Nyie wanawake acheni kuuliza maswali ya kipumbavu na ya kijinga na ya kizushi, maswali ya namna hii kamwe hayamfanyi mwanaume akuone wewe ni wa kuolewa naye.

 
Jamani marafiki maswali mengine yanakera.Mtu anakuuliza do you love Sex na hali anajua dhahir hakuna asiye chukiaa sote tunapenda. Nyiee wabwanga acheni kuuliza maswali ya kipumbavu na ya kijinga na ya kizushi, maswali ya namna hii kamwe hayamfanyi mwanaume akuone wewe ni wa kuolewa naye

Na kweli kila mtu anapenda hio kitu bana by default.
 
Afu ukimjibu ndio unapenda yeye atakwambia hapendi mwisho wa siku ukimuingiza kichwa kisicho na masikio unakuta anabonge la vongo.
 
Na mim ntamuuliza yeye kazaliwa au kaumbwa?
 
ntamwambia napenda tena sana ikiwa kwa wanawake tofautitofauti, then usikilizie jibu
 
Jamani marafiki maswali mengine yanakera.Mtu anakuuliza do you love Sex na hali anajua dhahir hakuna asiye chukiaa sote tunapenda. Nyiee wabwanga acheni kuuliza maswali ya kipumbavu na ya kijinga na ya kizushi, maswali ya namna hii kamwe hayamfanyi mwanaume akuone wewe ni wa kuolewa naye

ha ha haaa... Bujibuji huyo unamvuta kwenye kauchochoro unampa goli moja zito ndo jibu lake...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom