Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu jamani, ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi pia sijambo; mimi ni member wa mda mrefu lakini mara nyingi nilikuwa si mwongeaji bali nimekuwa nikijifunza kupitia post tofauti...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana MMU. Kutokana na tafiti za mapenzi, watu waliokutana kwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye chumba chenye giza, ikiwa wote hawafahamiani hata kwa sura,wote waliambiana na kuelezana vyema na...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
Kuchepuka sio vyema kabisa,tena na rafiki wa mwenza wako na sisi wanaume tulivyo wakorofi hapo si ajabu hapo jamaa akirudi home mwanamke atachezea kipigo. Wakati na jamaa nae katoka...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau. Ni vizuri tukajiwekea utaratibu wa kujitazama mara mbili hasa kipindi cha birthday na kujiangalia step unayopiga kila mwaka unavyoongozeka. Sio unafurahi sana peke yake na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana MMU Jumapili ni siku ya familia. Tunaweza kujifunza maisha ya upendo kupitia kwa mama huyu ambaye nilimuuzia kiwanja maeneo ya Mbezi chenye thamani ya million 130. Huyo mama ni advocate...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Mm ni kijana natafuta mchumba mwenye umri 18-22 awe na hofu ya mungu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kwamba inasemekana kinadada mnaovaa suruali za kubana asubuhi mpaka kulala jumatatu mpaka jumapili umo tu unakabiliwa na tatizo la kuwa na Maji mengi kunako sirini hii tokana na joto kali na...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu natumaini hamjambo. Wiki mbili tatu nilivua mchepuko pale Empire club, Arusha.mashallah yuko vizuri maana alishadate ngozi nyeupe wakamwachia mtaji, anafanya biashara yake mjini. Cha...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wadau the great thinkers polen kwa majukumu. Je kuna faida na hasara gani ukiwa na wivu kwenye mapenzi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sebene limeanza usiku, kutokana na tabia yake ya udukuzi wa simu yangu hasa upande wa message na last calls wakati nimelala. Asubuhi akaamka na mimi tena, nikaona isiwe tabu ngoja nimuepuke...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Msongo wa mawazo Asilimia kubwa ya tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo unaotokana na ugumu wa maisha (uchumi), matatizo katika uhusiano (ugomvi, kutoelewana, kutoaminiana au kukosa...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Mimi Ni Mwanaume,Natafuta Mke Wa Kuoa,
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kusumbuliwa mwezi mzima na mke wa mtu akinitaka niwe mpenzi wake (au niseme sex machine yake) nimegundua njia nyepesi na isiyotumia nguvu kejeli wala matusi ya kumkwepa. True Story...
0 Reactions
104 Replies
17K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 katika maisha yangu huwa najisikia mpweke sana kama sipo kazini.Kwani sijawahi kuoa na sina mpenzi wala mchumba.Nahitaji mwanamke yeyote wa kubadilihana naye mawazo. My...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana MMU Naanza moja kwa moja na tatizo langu. Mimi ni kijana wa miaka 28 naishi na mpenzi wangu ana umri wa 26. Kwa miaka mitatu ila hayuko tayari kuzaa wala kuolewa na mimi na anasema...
1 Reactions
86 Replies
8K Views
Mitindo ingekuwa na maendeleo kiasi gani bila uwepo utumwa na ukoloni? Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa waandishi wa habari wa Afrika, mwandishi na Mtunzi wa Riwaya,Tricia Nwaubani anaangazia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mapenzi ni matamu sana hasa ukampata yule akupendae kwa dhati, na kama ni KE mwenye kubembeleza kwa sauti ya upole, na asiwe anapaza sauti pasipo stahili, na kama ME awe mwenye kujua kutafutata na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
Tatizo ni lipi. Najua wengi mnaenda kunitupia mawe na kuniambia eti kama hutaki kusoma usifungue uzi huu, lakini kwa kweli wana Jamii Forums mmezidi na hadithi za kiupuzi kuhusu ngono na...
2 Reactions
41 Replies
10K Views
Back
Top Bottom