Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wanajamii forum.
Leo ninakuja na chemsha bongo kidogo kwa kuwa nimeona imekaa kimapenzi,sio mbaya nikaileta hapa Mpo kwenye VITZ au SPACIO yako wewe mwanaume,mke wako na mama mkwe wako mama yake mke wako mpo safarini.
Mara ghafla HUMMER AU LAMBOGHINI linawa overtake kwa mlio mzito,mara mama mkwe akaropoka ghafla,Mwanaume huyo anapita kama wewe ni kidume utafanyaje jamani.