gegedo = ni tunda la mmea uitwao mdodo ambalo liko kama tango ndani yake linavinyuzi nyuzi fulani hutumika kusugulia mwili ili kuwa safi
dushelele = kufurahi/kuwa na furaha au kuwa na mbereko nyingi ili mradi nafsi yako imefurahishwa
papuchi = chupi + vua
Labda bado sijaeleweka wadau
Ni kwamba hizi terminology huwa tunazitumia sana hapa kwa kumaanisha vitu flani kama lugha ya picha, mimi ninachohitaji kufaham ni kama kuna maana halisi kwenye lugha tofauti na vile tunavyotafsiri sisi hapa jukwaani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.